• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

D

Depay

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2015
Messages
6,560
Points
2,000
D

Depay

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2015
6,560 2,000
Kampala is undeniably one of the most beautiful cities on the continent, with a nightlife to die for. With a population of 3 million people, it is the seat of Government and Economic capital of Uganda.

Dar es Salaam is the largest city in Tanzania with a population of 3 million people. It is the economic capital of Tanzania, the seat of Government being Dodoma, 500km away from Dar es Salaam.

Now the two cities have experienced tremendous growth in the last few years. Let us see what they have to offer for a visitor and any opportunities abound.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,372
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,372 2,000
Ama kweli kichapo cha dar kimefanya watu wamedata..

Wamekimbia na chupi mkononi
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,951
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,951 2,000
Kweli ukubwa wa makalio si wingi wa kinyesi. Darislum is large but so unplanned. Kampala is compact and so beautiful. Planned city.
 
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
3,131
Points
2,000
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
3,131 2,000
Kweli ukubwa wa makalio si wingi wa kinyesi. Darislum is large but so unplanned. Kampala is compact and so beautiful. Planned city.
hahahahahahahahahaaaaaahhaahahahha naona mmeamia next door. Waoneni waganda kama supporters wenu ila wamechoka kuokota makombo chini ya meza yenu sasa wachukulieni poa ila watawatimua kama kwenye uzi mlioukimbia msio na kwenu nyie
 
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
3,131
Points
2,000
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
3,131 2,000
Hiyo kampala inacheza uwani na nai rika lake.
Unajua hawa wajinga wameanza kuweka chuki ndani ya waganda ili watengeneze alliance coz wana common enemy ila in real life waganda hawana muda na hao wakunya hata kidogo maana wakunya kazi yao ni kushoboka tu ili wapate rafiki maana wote saivi wamewakimbia. Mwaka 2013 walivyokuwa na mipango ya sgr kutoka mombasa hadi kigali yaani walikuwa friends kweli huku Tanzania ikiwa left out ila times change sasa hivi Rwanda na Uganda wameelekeza macho na masikio TZ, hawa wakunya wako desperate sana, tumeshachukua influence in this region
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,874
Points
2,000
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,874 2,000

Economy ya Kenya ni sawa Na ya the rest East Africa combine.
So ukileta story za nchi minors unashangaza.
Hapa hakuna mganda ata mmoja,mkiendelea na hizi kiswAhili zenu mganda mgani ataelewa this backward language????
Reason jf ni local forum juu ya KISWAHILI dominance.only Ke and Tz
 
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
3,131
Points
2,000
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
3,131 2,000
Economy ya Kenya ni sawa Na ya the rest East Africa combine.
So ukileta story za nchi minors unashangaza.
Hapa hakuna mganda ata mmoja,mkiendelea na hizi kiswAhili zenu mganda mgani ataelewa this backward language????
Reason jf ni local forum juu ya KISWAHILI dominance.only Ke and Tz
Keep on licking white asses little bro. Just like the French, Germans, the Japanese, we are proud of our language. What do you have? Eti uchumi wa kenya ni nchi zote za East Africa combined, bro, endelea kujiconsole na utoto wenu, hizi nchi unazodharau ndio zinakua kwa kasi na ndio maana wamewadump, hamna marafiki tena na kwa hii trend sitashangaa kama mtaanguka bilakujijua maana mmeshaanguka tayari
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
3,550
Points
2,000
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
3,550 2,000
Economy ya Kenya ni sawa Na ya the rest East Africa combine.
So ukileta story za nchi minors unashangaza.
Hapa hakuna mganda ata mmoja,mkiendelea na hizi kiswAhili zenu mganda mgani ataelewa this backward language????
Reason jf ni local forum juu ya KISWAHILI dominance.only Ke and Tz
Poteeni huko hatujawaomba mje kujikomba huku
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,874
Points
2,000
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,874 2,000
Keep on licking white asses little bro. Just like the French, Germans, the Japanese, we are proud of our language. What do you have? Eti uchumi wa kenya ni nchi zote za East Africa combined, bro, endelea kujiconsole na utoto wenu, hizi nchi unazodharau ndio zinakua kwa kasi na ndio maana wamewadump, hamna marafiki tena na kwa hii trend sitashangaa kama mtaanguka bilakujijua maana mmeshaanguka tayari
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,372
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,372 2,000
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.
Apart from hizi story za kutuandikia,ni kipi unaweza onyesha watu kwamba uchumi wa kenya ni imara sana,ukiringanisha na nchi zingine.
 
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
3,131
Points
2,000
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
3,131 2,000
Hakuna kitu unaniambia wewe,ukweli uko WAzi...
Porojo za countries za madikteta zisikugandishe akili old man.
Wewe tuliza mdomo, mnaona maendeleo yanafanyika kwetu vimdomo vinawawasha sana sasa suburi, you'll just get used to it.
 
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Messages
888
Points
1,000
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2015
888 1,000
Red soil is fertile, I see nothing wrong with the red matope. Hapa tunaongelea the qualitybof the residential housing, but all u see is the soil? Yeah, and as Humble African said a while ago, no city particularly in Africa is devoid of slums. Kampala does have its fair share of the problem. But at least kwa real estate sector and urban planning wanakaa sawa tu. They are somewhere, at least.

Lakini what about Dar?
Kampala vs Dar es salaam?!
I do not think if you have to be in your right mind to even consider comparing the two.

Kampala city area 180sq.km
Dar es salaam 1300sq.km thats 7times your so called Kampala. Now imagine the length of infrastructure in a city covering 7times that dingy place..

About the suburbs.. The 20000plots project alone covers close to 30sq.km that alone is about 1/6th of your city and that does not include kijitonyama,sinza, mikocheni, mbezi beach, tabata, chang'ombe ,msasanj masaki kibada, mikwambe all of them together covers easily the whole of Kampala and Entebbe all together..

#peace
 
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Messages
4,122
Points
2,000
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined May 26, 2014
4,122 2,000

Paris is 150km², New York is 750km², Dar es Salaam, 1300km². Do u then mean that given its size alone, Dar has more infrastructure than those two cities? Bure kabisa!
 
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Messages
4,122
Points
2,000
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined May 26, 2014
4,122 2,000
Lete picha wacha maneno
Picha si ndizo hizo nilipost humu nyingi tu? Ila nyinyi watz mnajitia aibu sana sana sana.
Nchi yenyu yenye ukwasi mkubwa hivyo, pamoja na amani tangu kuisha kwa wa vita vya Majimaji, mbona nchi iko kishaghala baghala namna hii?

Yaani iweje ati hata hizi hizi Uganda na Rwanda ya miaka na mikaka ya vita na misukosuko ya kisiasa iwashide katika mipangilio miji na miundo mbinu?
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,372
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,372 2,000
Picha si ndizo hizo nilipost humu nyingi tu? Ila nyinyi watz mnajitia aibu sana sana sana.
Nchi yenyu yenye ukwasi mkubwa hivyo, pamoja na amani tangu kuisha kwa wa vita vya Majimaji, mbona nchi iko kishaghala baghala namna hii?

Yaani iweje ati hata hizi hizi Uganda na Rwanda ya miaka na mikaka ya vita na misukosuko ya kisiasa iwashide katika mipangilio miji na miundo mbinu?
Mpangilio ni nini wewe???unasaidia nini??uganda au rwanda ineizidi nini tz baada ya kuwa imepanga vyema miji yake??

Ukweli mkubali nao au muuwache,dar is now leading city in EA pamoja na kupangwa vibaya.
 
Forum statistics

Threads 1,404,957
Members 531,857
Posts 34,472,920
Top