Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

1) Mario
2) Harmonize
3) Benpol
4) Rayvanny
5) Mbosso
 
Japo tumewazidi kenya kwenye upande wa mziki ila kuna baadhi ya nyimbo walizitengeneza vizuri sana. Nyimbo zangu kumi bora kutoka Kenya ni:-

1-Nyota ndogo- watu na viatu

2- Nameless- sinzia

3- Wahu- sweet love

4- Amani- missing my baby

5- longombas- vuta pumzi

6- DNA- banjuka

7- P unit- kare

8- Sauti sol- sura yako

9- Sanaipei Tande- Amina

10- Necessary noize - (nimesahau jina la wimbo)

Kama ni mbongo na unafuatilia mziki kuanzia miaka ya 2000 mwanzoni basi huwezi kosa kuzijua nyimbo namba 1 mpaka 7 kwa sababu zilihit sana bongo.

Msanii ninayempenda ni Wangechi
 
Hadi AY sio!!?
Ok poa
 
Wengine uliowataja ni wanywa chang'aa maarufu wala siyo wanamziki, AY siku hizi kawa mkenya?
 
Nameless kwenye huo wimbo wa Sinzia alitulia vizur sana
 
Nimecheka sana waTanzania kucompare music industry ya kwao na hapa na saizo hakuna nchi imewapatia fedha na support kama Kenya. Hizo video there's a time they were all being directed by Kenyans. Mnafaa kushukuru badala ya kupiga kifua
 
Nimecheka sana waTanzania kucompare music industry ya kwao na hapa na saizo hakuna nchi imewapatia fedha na support kama Kenya. Hizo video there's a time they were all being directed by Kenyans. Mnafaa kushukuru badala ya kupiga kifua
Hahaha eti mnawapatia pesa, hivi umeona show ya diamond kule west Africa anavyowaimbisha Watu ambao hata hawajui kuzungumza kiswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uwanja ulijaa watu 70k niambie ni msanii gani wa kenya yuko na jehuri hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usisahau pia best video director anatokea Tanzania,
Hizo pesa mbona hamuwapei wasanii wenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Diamond is a big artist and we acknowledge that. So besides Diamond? who else? wajua video za diamond kuna wakati zilikuwa zinatolewa na Ogopa? saizi mmepata nguvu mnaanza kutupiga mateke? wajua saizi nyimbo zake zote zinakuwa distributed na Ngomma VAS kwenye mtandao na media. Ngomma kampuni ya Kenya hiyo, owned by Calif Records
 
hao wasanii wenyu kuna wakati ungeangalia video unashangaa kama ni Mkenya. Rose Muhando, Shusho wote wamejengwa na Kenya. Kuonyesha sisi hatuna chuki na yeyote. Same case na Uganda. Msije kupiga kifua hapa mambo hamuelewi. Yaani msanii wa Kenya aneza piga show zake Kenya tu na akuwe tajiri. Nyie ilibidi mmlete mziki Kenya kwanza ndiposa pesa ziingie. The only country in EA who can dare pay an artist $900,000
 
Kuwapiga mateke wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu diamond hatumii hiyo ngoma Vas,
Diamond anatumia Spice Digital South Africa
 
Mnapenda kujisifia ujinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mbona hizo pesa hamuwalipi wasanii wenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daily wasanii wenu wanalalamika kutokulipwa vizuri huko kwenu, yaani unajichocha wasanii wa nje kulipwa vizuri huku wasanii wenu wakiachwa.
 
That is what the fans want, huezi tu lipa mtu kwa kuwa analia. Hapa mambo hayalazimishwi kama kwenye protectionist states kama Tz. Kuja hapa utupate tuki appreciate reggae utadhani sisi waJamaica. Utatupata tukiimba rumba usiku mzima kama wale wa DRC. Unaingia club unapata sessions za mziki aina kama tano different. Watch our TV see the diversity in programming especially music. Ni jambo amabalo limecontribute kwa kusaidia waKenya kuintegrate na other countries virahisi sana. Kwanza imecontribute kwa idadi kubwa ya Kenyans kwenye diaspora compared to all East African countries, besides countries with refugees.
 
Hata sisi hizo zote tunazisikiliza sana tu,
Shida yenu kubwa ni hampendi kuwapa support wasanii wenu yaani mna chuki za waziwazi kwa wasanii wenu,
mnashoboka na wasanii wa nchi zingine huku mkiwasahau kuwapa support wasanii wenu.



 
Hata sisi hizo zote tunazisikiliza sana tu,
Shida yenu kubwa ni hampendi kuwapa support wasanii wenu yaani mna chuki za waziwazi kwa wasanii wenu,
mnashoboka na wasanii wa nchi zingine huku mkiwasahau kuwapa support wasanii wenu.



Kudiscuss nawewe naona ni kupoteza muda. Niruhusu niondoke
 
LOL kwani mnawapa kama msaada au ni talent works zao zinademand such amounts?

Hata kama wakija kufanya productions huko bado hawafanyi bure bali wanawalipa, you are talking as if mnawapa misaada, mbona mnashindwa kuwafanya artists wenu stars kama Tanzania?
 
Kudiscuss nawewe naona ni kupoteza muda. Niruhusu niondoke
Unakimbia sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Baki tu nikufungue huo ubongo uliojifunga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa fact tu sio story za kusimuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…