Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

Arusha wanauza maua nje ya nchi
Maua yanaenda kenya, wakenya wanauza na kupata faida maradufu huko ulaya. Hayo maua yanasaidia nini uchumi wa Tanzania, wakati Tanzania haijulikani kama ina export maua.
 
Mbeya imeanza kutuangusha,miaka miwili mfululizo wameshindwa kuongeza mapato kuvuka bil.15..

Huu ni uzembe maana tumeshapitwa na Tanga 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-094042.png
    46.7 KB · Views: 30
Tafuta majibu hapa ikiwezekana panga upya safi yako 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-094042.png
    46.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 25
Hivi TANGA inaizidi nini Iringa za ziada hasa, labda bahari!
Tanga ina bahari, mpaka na inchi jirani, mashamba makubwa ya mkonge, viwanda vya chuma, sabuni na kiwanda kikubwa cha saruji tanzania nzima,
Bomba la mafuta ya uganda kupitia tanga kwenda ulaya,
Utamaduni wa enzi na enzi, ustaarabu wa kale sana, sekondari ya kwanza tanganyika, mbuga ya wanyama pangani hadi sadani, mbuga pekee kati ya chache duniani yenye beach, nk nk nk
 
Wajenge bara bara ndani ndani huko wanazidiwa hata na Tabora kwa bara bara wao wakipaka rangi kidogo tu huko Isyesye na ile ya Isanga ishakua na mashimo kila siku wanajisifia mapato makubwa wakati Jiji ni vumbi la kutosha hakuna bara bara nzuri za mitaa...
 
Ukitoa Dar,jiji la Arusha ndio inafata.
Kipindi cha Mwendazake aliipotezea sana Arusha,pamoja na covid uchumi wa Arusha ulizorota.
Mama anaufungua mji urudi kwenye hadhi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…