Huyu @CCNP lazima atafungua ID nyingine,jf sio sehemu ya mchezo mchezo,miaka ya nyuma alikuwepo member anajiita
Mpiga msuli alisoma shule maalum Tabora boy alitukana sana watu kua yuko vizuri,siku akaingia anga za mtu zikaletwa mpaka picha za kwao kibaha,hawajawahi onekana humu toka miaka ile,jf naigopa kama ukimwi