aaaaa tatizo uko team ya kichovu pambana na njaa yako mimi huko nlienda mpaka mpesa kuulizia labda mtandao umesumbua injinia katuma imebaki hewani ila hola nimehama team rasmi tokea jana na mema nimeshakula jana na leo naendelea kuyafaaidi
Bwana ringishianeni hela sio matokeo ya shule. Kuna watu hawajagusa darasa wanayo hela hatari. Na wengine wamesoma madarasa kama yote mpaka sasa wanahustle. Kura yangu iko kwa alieonyesha mihela
injinia bado anafatilia salio daaaah ππππ
hakuna kitu kinachouma kama kuwa na cheti kina AAA na cheti cha pongezi kwa kuwa TOP 3 alafu salio halisomi ππππ