Battery ya Solar au nyingine yoyote haiongezwi acid kamwe. Battery ikipungua nguvu ongeza distilled water sio Acid mkuu. Kwa maelezo yako inaonekana battery imekufa japokuwa ili kujiridhisha inabidi kujua umekaa nayo muda gani na kama inaweza kuwa rechargedHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Mwanzo ilikuwa na acid nikajuwa acid ndio suluhisho, au nimwage niweke distilled water? Battery nimekaa nayo miaka miwili.Battery ya Solar au nyingine yoyote haiongezwi acid kamwe. Battery ikipungua nguvu ongeza distilled water sio Acid mkuu. Kwa maelezo yako inaonekana battery imekufa japokuwa ili kujiridhisha inabidi kujua umekaa nayo muda gani na kama inaweza kuwa recharged
Kabla ya kununua ingine jaribu kusugua terminal zake kwa msasa kwani nina wasiwasi haiwi full charged mchana. Pia angalia wire wa kutoka kwenye panel. Unaweza kujaribu charging system kwa kuweka balbu kweny waya zitokazo kwenye sola kabla ya kufika kwenye betri (kawaida huwa zinatoa mwanga)Habari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Panel yako ni watts ngapi? Ili nikushauri zaidi. Pia bei ya battery sio hiyo kaka, kwa sasa zimeshuka beiMwanzo ilikuwa na acid nikajuwa acid ndo suruhisho, au nimwage niweke distilled water? Battery nimekaa nayo miaka miwili.
Tatizo, watu wengi wenye solar system, huwa hamzichaji hizo batteries to full charge.... na huwa mnazitumia mpaka baatery ya 12V inafika 8V... Ukiifikisha battery hapo, una-destroy cells. Zikishaharibika hutaweza kuzichaji tena to full capacityDaah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
OK sawa nitajaribu hilo kesho wakati Jua likiwaka.Kabla ya kununua ingine jaribu kusugua terminal zake kwa msasa kwani nina wasiwasi haiwi full charged mchana.Pia angalia wire wa kutoka kwenye panel.Unaweza kujaribu charging sysstm kwa kuweka balbu kweny waya zitokazo kwenye sola kabla ya kufika kwenye betri (kawaida huwa zinatoa mwanga)
Polesana, nakushauri nunua betry ya dry. Zinakaa sana na chaji na ni imaraHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Panel yangu ni watt 90, nawashia taa 5 pekee. Au ninunue N50 ya gari inaweza kufaa?Tatizo, watu wengi wenye solar system, huwa hamzichaji hizo batteries to full charge.... na huwa mnazitumia mpaka baatery ya 12V inavika 8V... Ukiifikisha battery hapo, una-destroy cells. Zikishaharibika hutaweza kuzichaji tena to full capacity
Halafu anayekushauri ununue battery ya Ampare Hour kubwa (N100), je solar panels zako zina uwezo wa kuichaji hiyo battery?
Kumbuka, wakati wa mchana, jua linapokuwepo, solar panels, zinapeleka umeme sehemu mbili, mzigo wako (Taa, na vifaa vyote vinavyotumia umeme wa hiyo solar) na kuchaji battery. Sasa kama hesabu haijapigwa vizuri, hutakuja kuijaza hiyo battery, na utakuwa unaitumia kabla haijajaa kila siku, HENCE WITH TIME, ITAKUFA...
Ukiwa na 170,000 Kkoo waweza pata n100 ya solar, cha msingi upate duka lenye warranty si chini ya mwakaDaah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.