Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Jino kwa Jino
Sasa naona weusi wameamua kuanza kuwawinda askari polisi wazungu. Hii ni hatari sana maana mahali popote pale kunaweza kukatokea mauaji ya polisi wazungu na wao si ajabu wanaweza sasa kutumia hii kitu 'nilihofia usalama wangu' kuongeza mauaji ya weusi wasio na hatia. Hali inazidi kuwa mbaya na hii Republicans wanaweza kuitumia vizuri sana katika kampeni za uchaguzi na hivyo kumshinda Hillary na kubaki na majority kwenye senate na congress.
Kwa hiyo polisi wanahaki kuua wasio na hatia. Ngoja waonje machungu ya ubaguzi.Tukiitwa manyani tumelaaniwa tunatoka povu.
Swala lilikuwa kuandamana kwa amani, mwingine anaenda kuua eti kulipa kisasi,huu usela nondo ndio tatizo la mtu mweusi sio rangi yake.
Si nchi zote za Ulaya zenye matatizo kama hayo, mbona Uingereza ni nadra sana kutokea matatizo kama hayo!!
Mkuu kwa issue ya friction btn police na raia, Uingereza sio police hawabebi silaha (nisahihishe kama nimekosea) pengine inapunguza matatizo kama haya. This's crazy.
![]()
Alton Sterling akiwa mikononi mwa polisi kabla ya kuuwawa.
Hapo mpaka upande mmoja uombe pooNi vita down town Baton Rouge.
![]()
Update: Watu wawili wenye silaha ndio waliohusika kuwafyatulia risasi askari polisi na inasemwa mmoja wao ni mwenye matatizo ya akili. Bado kujulikana kama ni kitendo cha kigaidi au namna ya kuwasilisha ujumbe fulani.
Update: Baton Rouge ndipo alipouwawa mmarekani mweusi Alton Sterling.
Update: Msemaji wa polisi Casey Rayborn Hicks kutoka kituo cha polisi cha East Baton Rouge Sheriff’s Office anasema eneo la Airline Highway limefungwa na watu watafute utaratibu mwingine wa usafiri.
Update: Polisi wametanda eneo kubwa la Baton Rouge ambapo watu wenye silaha wanadaikiwa kuwa wamejificha.
Update: Idadi ya askari waliokufa sasa ni watatu, na waliopigwa risasi ni saba.
![]()
Askari polisi wawili wameuwawa baada ya kubadilishana risasi na kikundi cha watu katika mji wa baron Rouge.
Habari zaidi kuendelea kuja, lakini polisi wengine watatu wamejeruhiwa vibaya na hali zao si nzuri.
Ushakutana na jamaa flani wa Scotland ni wazungu ila wananyoa upara wana jina lao nimelisahau ,ama ukutane na hawa Wapolish wanaoishi UkSi nchi zote za Ulaya zenye matatizo kama hayo, mbona Uingereza ni nadra sana kutokea matatizo kama hayo!!
Inabidi kwenda deep, kuliko ku paint tu picha kama hivi.