😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 my ribsAende Arusha kula Pizza?
Kwa shs 26,000 nimeuziwa pizza mbili za cheese, pizza sauce na vitunguu.
Their lifestyle is not your concern.Una ham na chicken pitia sokoni hapo Mwenge nunua kuku wa kienyeji ukanywe supu, achana na huo ujinga.
Kuna ujinga unaanza kushamiri siku hizi watu kupenda vyakula vya ajabu ajabu huku raw organic food zikiwa za kutosha.
Utakuta mtu anabugia mikuku mitaahira inayokua kwa siku 2 unaacha kuku wa kienyeji, unakuta mtu ndani kajaza mijuice ya viwandani huku matunda fresh yanaoza kwenye masoko.
Huu ujinga hasa uko kwa wenye hela, ndio maana utakuta mitoto imenenepeana kama funza, mibaba na mimama mitumbo mikubwa, minyama uzembe, inapumulia juu juu kama vyula. Hovyo kabisa.
Mkuu binafsi naupenda Sana mnafumatembele na mnafu ni chakula kitamu pia
Ukweli mtupu umenena.Una ham na chicken pitia sokoni hapo Mwenge nunua kuku wa kienyeji ukanywe supu, achana na huo ujinga.
Kuna ujinga unaanza kushamiri siku hizi watu kupenda vyakula vya ajabu ajabu huku raw organic food zikiwa za kutosha.
Utakuta mtu anabugia mikuku mitaahira inayokua kwa siku 2 unaacha kuku wa kienyeji, unakuta mtu ndani kajaza mijuice ya viwandani huku matunda fresh yanaoza kwenye masoko.
Huu ujinga hasa uko kwa wenye hela, ndio maana utakuta mitoto imenenepeana kama funza, mibaba na mimama mitumbo mikubwa, minyama uzembe, inapumulia juu juu kama vyula. Hovyo kabisa.
Arusha sehem gani?Write your reply...Hapa Dar hakuna anaejua kuandaa Piza .Nenda Arusha.
Nimecheka mmUna ham na chicken pitia sokoni hapo Mwenge nunua kuku wa kienyeji ukanywe supu, achana na huo ujinga.
Kuna ujinga unaanza kushamiri siku hizi watu kupenda vyakula vya ajabu ajabu huku raw organic food zikiwa za kutosha.
Utakuta mtu anabugia mikuku mitaahira inayokua kwa siku 2 unaacha kuku wa kienyeji, unakuta mtu ndani kajaza mijuice ya viwandani huku matunda fresh yanaoza kwenye masoko.
Huu ujinga hasa uko kwa wenye hela, ndio maana utakuta mitoto imenenepeana kama funza, mibaba na mimama mitumbo mikubwa, minyama uzembe, inapumulia juu juu kama vyula. Hovyo kabisa.
Muhind nimekukamata!!Nunuaga pale boogoe woogie au mhotel
Huko bado mnakula pizza mkuu!hamjaanza kuishi kama mashetani!?au hampo serious[emoji23] [emoji23]Jana nili order takeaway pizza mbili Batman Pizzeria maeneo ya Goigi. Pizza moja ya chicken (shs 12,000) na nyingine inaitwa Santa Fe nayo inakuwa ni chicken na garlic (shs 14,000).
Lahaula! Cha ajabu na kilichonisikitisha nilipofika nyumbani ni kwamba hizi pizza HAZINA nyama yoyote ya kuku ambayo inaonekana kwa macho! Labda mtu utumie darubini kuona hivyo vipande vya "chicken".
Nilikula vipande 3 au 4 sababu ya njaa tu, na sikuwapa wanangu kama nilivyopanga badala yake leo asubuhi nimewapa kuku pizza nzima na robo tatu kama snacks.
Ni wizi mtupu na aibu hawa jamaa kudai wanauza pizza za "chicken" lakini hiyo "chicken" hamna kabisa.
Kuifahamu mahaba beach haimaaishi unakaa ununio.Muhind nimekukamata!!
Umepajuaje huko wakat kwenu nanjilinji huko ndichi ndichi
Sikumoja moja watu wale vzuri..utajuaje anasaidiaga maskini kwa wakat wakeBora hata hiyo hela ungewapa Street children wanahaha hawajui watakula wapi siku moja moja kuwakumbuka ni jambo zuri imagine kama ungetoa 20 ungewalisha masikini 20 kwa wali wa bukubuku kwa mama ntilie
Hiyo ni Siri yake na Mola wake mm nimempa alternative waySikumoja moja watu wale vzuri..utajuaje anasaidiaga maskini kwa wakat wake