Safi sana, kumbe sasa safari za Arusha-Mwanza, DSM-Mwz zitaongezeka kwa kuwa principle za chemistry na physics itafanya kazi kwa ufanisi kwa theory ya ATTRACTION. Ile ya AR-DSM na DSM-DSM ziliboa. Wasukuma wa Ng'wanza wawekeze katika vivutio vya utalii wa ndani kujiongezea kipato kwa watalii wetu, safari za marekani na Jerusalem sasa zaweza kupungua.