Batilda Buriani RC Mwanza

@ Ngoreme .... ndaita omonto

Khana Khe akhukhorire .. Mohili wacho ale Gh'asi?

Nenda katibiwe maana mgonjwa hachagui dawa kwa kuwa tu dawa hiyo ni chunu kama quinine... anika madhambi yake hapa ili tujue alifanya nini kwa sisi tusio mjua.. sawa ngoreme?

Otigh'e gh'ukara bila sababu ya msingi...
 
Atakumbana na MEYA wetu wa CDM kijasho chembamba cha kw.......n... kitambubujika.

Arusha hapkaliki na Mwanza ndio kabisaaa:A S 465:
 
Du kama kweli ataaibika ni Jiji gumu hasa la Meya na Naibu kutoka CHADEMA pia makabila ya pale hayana utani na kz, biashara madini na vurugu zote
Wana JF tupeni source Wakuu waMikoa wameshatajwa?
 
Safi sana, kumbe sasa safari za Arusha-Mwanza, DSM-Mwz zitaongezeka kwa kuwa principle za chemistry na physics itafanya kazi kwa ufanisi kwa theory ya ATTRACTION. Ile ya AR-DSM na DSM-DSM ziliboa. Wasukuma wa Ng'wanza wawekeze katika vivutio vya utalii wa ndani kujiongezea kipato kwa watalii wetu, safari za marekani na Jerusalem sasa zaweza kupungua.
 
Huyu ndiye aliyekataliwa na halafu mauaji yote ya mwanza ni sababu ya shetani huyu, anang'ang'aniwa kwa nini kuna watanzania wangapi ambao wako FIT
 
Back
Top Bottom