Batilda Buriani RC Mwanza

Mwanza atateseka sana kwani pale uongozi umejaa vizuri..

Wabunge chadema

meya chadema
 
Mh huu ni uzushi tu kuweni na uhakika haya mqmbo ya sijui ka ni kweli hatuyatki humu
 
hivi dr. kigwangallah kakimbia kabisa jamvi? nammiss sana aisee, yaani kupata ubunge ndo basi tena?

kila nikimsoma kapwani namkumbuka kigwangalla


MTM, bado nipo...kwa nini unamkumbuka Kigwangalla kila ukisoma Kapwani? Nijuze ndg yangu
 
Kwenye kongamano na Katiba Chuo Kikuu wiki iliyopita, Ulimwengu alirusha kombora kwamba ma RC na ma DC huwa ni "ma girlfriend zenu" mnaowateua.

Kama jimama limeshaharibu sehemu (Wizarani na Mkoani Arusha) mpaka halitakwi na wananchi mkoa mmoja utampelekaje kumsimika kwa wananchi mkoa mwingine kama ya Ulimwengu sio ya kweli?
 
na znz kwa mmewe ataendaje? Akiwa mza mbona ka wanataka apate tena presha mza si bora angeenda hata morogoro hamna cdm bora apate ajira coz hela zake rchuga tulikula tah teh tih afu 2kamnyima kura ndo mana hakuamini akakataa kusaini. Na tena ameahidi kwa baadhi ya wanawake ars atakuwa anawalipa wawe wanatokea mahakaman siku za kesi ili aonakene ana sapoti. Sa hv atapata tena hela za marupurupu ya ua RC wa2 wasilaze damu wale hela, na tena bado wapambe wake wana bifu na da shost mary chatanda wanhitaji hela ya kumzingua huyudada mmbishi
 
Hii kali kuliko kwani hili toto ni demu la Lowasa na kwakuwa JK ni shoga wa lowasa ni lazima huyu demu apate kibarua kwani hata ule uchaguzi lowasa alijaribu sana kumsaidi kimwana wake lakini Arusha jamaa wakakomaa inasemekana huyu mutu aliweza kumtamukia Mh. Lema kuwa ampe mil 700 iliweze kukubali kuchakachua matokea na Dakta Batlida apate ushindi wa mezani. Nongwa iko kwenye kujieleza kwani anakigugumizi cha kufa mtu na kuuma uma ulimi yaani anakisembe cha ambacho madaktari bingwa wameshindwa ku-regulate voice na kuwa romantic. Lakini kuna mix stories kuwa hata Jk nae huwa anapata uloda toka kwa rc matilda na ndiyo maana ndoa yake ikawa historia kwani anapenda mapost mazito. Igawa ni tetesi kuwa atakuwa rc mwanza lakini lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
 
Back
Top Bottom