Elections 2010 Batilda bado ajipanga kulinyakua jimbo la Arusha

Hakuona nini kilitokea baada ya Lema kutangazwa mshindi?????????????? atakuja kumwongoza nani kama wanaarusha wamemkataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwa nini lowasa asimshauri asubiri ili ampeleke jimbo la monduli 2015

Monduli 2015?? teh teh teh ??

Na mtoto wa sokoine atamungoje huyo dada aje kwao hujawai onaga mambo wewe yeye asahau kama Masha Hapa Nyamagana, Na Diallo Ilemela wasitegemee tena, Cha kuwa shauli tuu Lau Masha yeye aende akapambane na Ngereja Sengerema,

 
Hivi hawa jamaa hizo fedha zote kununua ubunge tu, isijekuwa wana mpango wa kuiuza hii nch jumla jumla
 
Back
Top Bottom