Ndugu zangu wana Jf hakuna kisichowezekana kwa Mungu maana huyo mama Batilda Juzi wamezunguka mji wa Arusha huku wakimalizia kwa matusi ambayo yalikuwa yanatolewa na wana ccm walioongozana naye na kyuwatishia baadhi ya watu kuwa akipata kura baadhi ya radio ataifunga kisa anakijua yeye mwenyewe na niko arusha hali siio swari sana ila hakuna kilichotokea mpaka sasa ya kuvuruga amani tunasubiri kutangazwa matokeo kwani batilda bado hajasaini ila ushindi wa asilimia mkubwa ulienda kwa lema ,Sisi-em wamefulia takrabani maeneo yote ya nchi! Tuendelea kuimarisha upinzani, hakika mabadiliko yanakuja!
FFU wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya Arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya CCM ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za NEC.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni Mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha

kwa nini zihesabiwe tena? Mawakala wa ccm si walikuwepo na wamesign? Hii si nzuri kabisa!ffu wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya ccm ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za nec.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha
Kata kumi na tano zimeenda upinzani CCM mpaka sasa wana kata nne hata meya wa jiji la Arusha atatoka CHADEMA.