Bati za kiboko za rangi gauge 28

cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
350
Habari zenu ndugu,

Naombeni msaada wa maelezo kuhusu bati za Kiboko migongo mipana ambazo bei yake ni 25,000 kwa bati la mita 3. Nafahamu kuwa habari ya mujini ni ALAF lakini hebu nipeni udadavuzi juu uimara wa bati hizo za kiboko na kudumu kwa rangi. Natanguliza shukurani.
 
Hizo bati ni Iron sheet coated by zinc, hupauka na kupata kutu ikikwaruzwa sana. Haina maisha marefu. Kama una pesa nunua ALAF kwa vile ni aluminiam sheet coated by zinc, bati kama hilo huuzwa 37500/= huishi maisha marefu kwa vile ni aluminiam.
 
Shukrani mkuu, vipi na hizi bati za aluminium za SUN SHARE unazizungumziaje kwa ubora na kutopauka?
 
Kachukue Alaf achana na hiyo kitu, kuna jirani yangu hapa kapaua kiboko rangi ya blue hata mwaka haina ni nyeupe hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom