bata mzinga.

bata mzinga.

Mmu mimi nilifikiri ni kwa ajili ya viumbe wote, nadhani ndivyo ilivyotakiwa kuwa. Mfike mahali muwe mnajadili hata mahusiana ya kuku, nyoka, nk.

Kwa mfano wote mnajua jogoo alivyo na wivu, hawezi kukubali jogoo mwingine atoke from no way agonge mzigo mitetea anayomiliki maeneo yake ya kujidai. Lazima zipigwe! Mnajua jogoo anahonga kama watu8 anavyohonga? Jogoo anamahusiano mazuri na kuku jike tatizo la jogoo sound nyingi, akishawazalisha hana muda wa kulea...

Kuhusu beberu, nitarudi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom