Bata mzinga Bata bukini

Hata sisi katika bata bukini uliotupatia ipo rangi hii nyeusi inavutia sana
 
Aisee tunakukaribisha kitomari
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

naitaji bata flani wanaitwa white peak unao?
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

naitaji white peak unazo?
 
ndio nimimi ndugu
Nishawahi kukutembelea mwaka jana,nilipenda sana ufugaji wako.......kaka Maxence Melo na wanahabari wengine,this man should be given credit,ni watanzania wachache sana wenye moyo wa kufanya mradi kama wake...wote mtakaotembelea arusha,just spend some few minutes kumtembelea ndipo mtanielewa.Nilifurahishwa sana na lile shimo la dawa geeitini kwako,na kufuga wanyama aina tofauti nyumbani kwako.Mungu akusaidie ndugu yangu......watu vijijini wakiiga mfano wako,nina uhakika umaskini utapungua.....nasisitiza tena,its a nice place kutembelea,mimi nilifika na nikajifunza mengi yalionisaidia katika ufugaji.
 
Last edited by a moderator:

karibu sana ndugu
 
Last edited by a moderator:
Ilo ni kweli kwa kweli mshikaji huyu anauza vitu vizuri sana bata wake ni wamfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…