KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,634
- 89,398
Si nimetumia tafsida jamani!Nafikiri hapo kwenye compyuta mpakato😅😅
Si nimetumia tafsida jamani!Nafikiri hapo kwenye compyuta mpakato😅😅
😂😂😂😂😂 Mechi🙄!??Tukutane uwanjani tarehe 14 February tafuta kiwanja maridadi kati ya Zanzibar au Arusha nitakata tiketi kabisa naamini mecgi itakayochezwa itakua ya viwango sana ISO, TBS
Utakua una tatizo la kihormones, dalili zikizidi muone Daktari, ukiwa sawa hebu niombe tena hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mechi[emoji849]!??
Nilivyo na allergy na Mechi..,[emoji3][emoji3][emoji3]
Znz nitawapeleka kiwanja kizuriTukutane uwanjani tarehe 14 February tafuta kiwanja maridadi kati ya Zanzibar au Arusha nitakata tiketi kabisa naamini mecgi itakayochezwa itakua ya viwango sana ISO, TBS
Ndo maana nikasema nitakugawa blazaSi nimetumia tafsida jamani!
Acha banah, roho ya marehemu ipumzike kwa amani na mwanga....Nitakuwa na marehemu wangu..ikumbukwe Mimi ni mjane.
Huwezi kupata blaza Kama mimi nigawe uone mizimu ya homu inavyodili nawe si unaijua mizimu yenyewe ile ikipandaga inaombaga Hadi konyagi na ubuyu! We jichanganye Sasa..😅Ndo maana nikasema nitakugawa blaza
😆😆Nitakuwa kusikojulikana na asiyejulikana
🤣🤣🤣🤣kenzy wewe🤣🤣Huwezi kupata blaza Kama mimi nigawe uone mizimu ya homu inavyodili nawe si unaijua mizimu yenyewe ile ikipandaga inaombaga Hadi konyagi na ubuyu! We jichanganye Sasa..😅
We nigawe tu hutapambana na Mimi utapambana na mizumu ya ukoo na nachokuomba ikiwa inashughulika nawe usiniite maana huwa sipendi kuingilia kazi za ukoo..🤣🤣🤣🤣🤣🤣kenzy wewe🤣🤣
Basi blaza sikugawi tena.maana mizimu inasafishaga 😆😆We nigawe tu hutapambana na Mimi utapambana na mizumu ya ukoo na nachokuomba ikiwa inashughulika nawe usiniite maana huwa sipendi kuingilia kazi za ukoo..🤣🤣
Anakushinda jiraniVuta picha kwanza na kile kiuno nyigu ndipo uje ukomenti tena jirani
Jirani hapo amani piga hatua aiseh 😆😆😆Anakushinda jirani
Cha kufanya we nisapoti tu sisi ndo mizumi ijayo kitatukoma kizazi kinachokuja wakati huo mi nikiwa mzimu nitawaomba hadi Safari lager na kitimoto bila kusahau na kompyuta mpakato..🤣Basi blaza sikugawi tena.maana mizimu inasafishaga 😆😆