Bata la Valentine's day

Bata la Valentine's day

Ua missed sana jirani hamna banah kuna nyuzi nikiwepo nina uhakika hutakosa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You’re missed too jirani yangu..
Umeona tunavyopendana eee..

Siku hizi kampan yangu mme kuwa adimu sana ..mnanifanya nakuwa mpweke🥺🥺🥺
 
Vijana kuweni makini msikubali vizinga jumapili
Ni bora utoe sadaka japo tizama na kanisa la kutoa pia hiyo sadaka SI kanisa lina kila kitu afu unatoa sadaka ya nini sasa? bora ununue unga,mchele ,mafuta upeleke kwa wenye mahitaji
Toa hela wewe, ubahili tu hata kwenye vitu adhimu, kopa hata bank mwanaume ni risk taker
 
Ndo nipo hapa na shetani tunapanga siku hiyo ziingie mimba ngapi na nani na nani tuwaunge kwenye grid ya taifa bila kusahau fumanizi ngapi zitokee na kutokana na mikusanyiko ya watu siku hiyo je koona tuisambaze kwa njia gani rahisi na ya haraka zaidi!,pia kwenye unywaji wapi tukoleze wapi tupunguz!.. mwaka huu tumeamua hadi koka zileweshe siku hiyo! Na nani na nani tuwacheleweshe kurudi nyumbani au warudi usubuhi kabisa!
Bado kwa zile Bata za kuzurura usiku lazima tuzikamatishe polisi zikalale selo na ikibidi mpk jela.
Kwa wale ambao valentine wao ni mabeki tatu wajihadhari sana maana tutawawezesha siku hiyo mimba hata ya kumgusa tu!.

Nawatakia Valentino njema muhimu muwe makini.
Sawa mkuu
 
Siku hiyo housi gal utampka nafasi gani blaza
 
You’re missed too jirani yangu..
Umeona tunavyopendana eee..

Siku hizi kampan yangu mme kuwa adimu sana ..mnanifanya nakuwa mpweke[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ule uzi ulichafuka kimtindo kwa interest za watu binafsi
 
Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao.
Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani?
Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
Kuna njemba moja hapa job inataka kutoka na wewe, upo tayari ?
 
Nitakuwa na marehemu wangu..ikumbukwe Mimi ni mjane.
 
Back
Top Bottom