Bata bukini

kuna bata bukini pair 400000 mayai bado mkuu.
halafu kuna mtu jamani alinipm anataka bata bukini ila siioni ile Pm.
 
mkuu,bata BIKINI?ukiyapata na mimi nishtue,I CAN`T WAIT TO SEE THEM!
mkuu ninao na mayai ipo ila siwezi kuuzia mayai maana yanahitaji uangalizi wa juu ili yaanguliwe
 
Naomba msada wa kupata bata bukini tetea. Niliyekuwa nae alianza kutaga mayai lakn kabla ya kuanza kuatamia niliamka amekufa. Au km kuna mtu anauza naomba anicheki kwa namba 0654425007 ili tufanye biashara.
 
ulishapata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom