ok una vifaranga wa bata bukin tubadilishane mi nina bata mzingaHayo ni shughuli kidogo na hata m2 akiwa nayo anuza bei ghali kama nyara
Mkuu hiyo ya kubadilishana nilikuwa naitamani sana coz mimi nilikuwa na bukini wawili lakini baadae nimegundua ni madume yote. Hivyo nilikuwa natafuta m2 wa kubadilishana nae ili achukue dume anipe jike coz bei zao zinalingana. Na pia bei niliyoitoa ni ya chini kwa sababu kuna wengine wanauza 200,000-300,000. Ni wakubwa kama Wanavyoonekana kwenye picha hapo juu. VIFARANGA SINAok una vifaranga wa bata bukin tubadilishane mi nina bata mzinga
sasa niki chukua bata bukini dume itakuaje bukin ata panda bata mzinga?Kiongozi kama wewe una majike wengi tubadilishane, na hii itakuwa pia ni njia nzuri ya wewe kubadilisha uzao ulio nao kwa kupata dume kutoka eneo jingine.
mkuu nitafute nitabadilisha na wewe with some condition ,Hao bata wewe ni wale wakubwa na pili aiswe mzeeMkuu hiyo ya kubadilishana nilikuwa naitamani sana coz mimi nilikuwa na bukini wawili lakini baadae nimegundua ni madume yote. Hivyo nilikuwa natafuta m2 wa kubadilishana nae ili achukue dume anipe jike coz bei zao zinalingana. Na pia bei niliyoitoa ni ya chini kwa sababu kuna wengine wanauza 200,000-300,000. Ni wakubwa kama Wanavyoonekana kwenye picha hapo juu. VIFARANGA SINA
ile theory ya demand and supply inaaply hapa ni wachache na huwa wanataga mara mbili kwa mwaka na ni mayai mawili 7-10 kwa mara moja ni kama mapambo flani hivi.Ni hufanya hao bata wauzwe ghali hivyo?
aiise hyo bei huku kwetu mbalali unampata ngom'be mkubwa tuAnaishi milele? Je anafikisha kilo 30 angalau?
Kabisa. Hata kwetu unanunua kiwanjaaiise hyo bei huku kwetu mbalali unampata ngom'be mkubwa tu
sasa niki chukua bata bukini dume itakuaje bukin ata panda bata mzinga?