Bastola yangu

Bastola yangu

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Ni aina ya Beretta, bought 3000 usd Preta tukienda batani itatulinda
maana Dar vibaka wamekuwa wengi sana
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    444.9 KB · Views: 284
Last edited by a moderator:
Ni aina ya Beretta, bought 3000 usd Preta tukienda batani itatulinda
maana Dar vibaka wamekuwa wengi sana

Unatandikwa pamoja na Preta wako na bastola yako wahuni wanasepa nayo wakikuonea huruma wanakuachia Preta vinginevyo nae wanasepa nae unacheza na vibaka wa Tandare kwa Tumbo wanaukame hao
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa si ni boflo, Preta wa nini sasa?
 
mmmmmmmmmmmmmmmh ukute hata kuikoki hujui.
 
Preta, umeliwa hapo dada yangu! Mbona "basotola" yenyewe ni kama zile zinazouzwa na machinga??
 
Umenishtua sana, nikasema sasa Mzee mwenzangu inakuaje anaweka "Bastola" yake hadharani...kufungua nakuta kumbe ni hilo lichuma la Mdhungu, hio sio bastola bhana, bastola huwa haionyeshwi hadharanai bhana.....hahahahaaaa kazi kweli kweli ngoja niakswali mie leo Ijumaa
 
Wakikunyang'anya ujipeleke mwenyewe polisi
 
Pietro Beretta
Kitu cha Italia
Ukiweka kiunoni haionekani kabisa.

Malima,Rage & Almaruhumu Ditopile Ukiwaona Mwinshehe wa Mzuzuri
Hao ndiyo wataalam wa kuvining'iza na kupigwa
watu kwa kutumia hayo makitu.
 
Umenishtua sana, nikasema sasa Mzee mwenzangu inakuaje anaweka "Bastola" yake hadharani...kufungua nakuta kumbe ni hilo lichuma la Mdhungu, hio sio bastola bhana, bastola huwa haionyeshwi hadharanai bhana.....hahahahaaaa kazi kweli kweli ngoja niakswali mie leo Ijumaa

Mpwa bastola gani hiyo uliofikiria?
 
Back
Top Bottom