Bastola hii hii!! Benki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bastola hii hii!! Benki

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Amoeba, Sep 5, 2009.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakuru, naomba tuulizane kiundani, benki nyingi zinazuia mtu kuingia na bunduki na siraha zingine ndani. navyojua mm mtu huamua kununua siraha (na kumiliki kihalali) pindi anapoona kwamba kuna ulazima wa kuwa nayo katika kulinda usalama wake na mali zake. kwa utaratibu wa benki nyingi, hawana dhamana ya fedha yako mapaka pale unapokuwa umedeposit kwao, hata kama upo ndani ya malango yao! kwa hiyo ni juu yako kulinda mali yako pindi unapokuwa haujakabidhi benki, inakuwaje unazuiwa kuingia na bunduki ilhali ukivamiwa na majambazi ndani ya benki,ukiwa kwenye foleni, au ndani ya bulk cash teller na kuchukua kamtaji kako inakuwa imekula kwako? mm nadhani kunakitu hapa hakijakaa vizuri!! naombeni msaada
   
 2. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160

  Kusema kweli hili ni jambo muhimu sana haswa tukiangalia jinsi ambvyo matukio yamezidi kuwa ya ajabu hata mabomu ya kutupwa kutumika ndani ya Benki.
  Inastahili Benki zetu ziimarishe ulinzi, kila anayeingia benki apitie kwenye X-ray machine na kama kuna kitu anatakiwa kuacha mlangoni basi aache mahali panaeleweka na kwa taratibu inayoeleweka. Inashangaza kuwa Benki zetu hata hazina mfumo wa ulinzi ndani kwa ndani. Nyingi hazina hata security cameras? cctv zinatakiwa kufungwa kila Benki.
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  huwezi kuwageuzia negligence hapo kana kwamba wameshindwa kulinda mali yako baada ya kukunyima wewe haki ya kuilinda binafsi?
   
 4. Magpie

  Magpie Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani wazo zuri kulinda mali yako lakini kwa tabia za kitanzania ukiruhusu watu kuingia na bunduki bank kila siku watu watakuwa wanalia.labda sheria ibadilishwe kuwa ukishingia tu mlango wa bank chochote kitakachotokea ni wajibu wa bank kuwajibika
   
Loading...