Bass ya sabufa inapiga na kukata kata

Bass ya sabufa inapiga na kukata kata

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Nina sabufa yangu nikiwasha mziki bass inaimba kidogo baadar inakata yenyewe. Inaweza kukaa had dkk kadhaa then inaimba tena..au mpaka nibonyeze bonyeze kile kitovu chake inapiga tena..shida ni nn wakuu.. Hizi spika ndogo zinaimba mwanzo mwisho
 
Nina sabufa yangu nikiwasha mziki.bass inaimba kidogo baadar inakata yenyewe..inaweza kukaa had dkk kadhaa then inaimba tena..au mpaka nibonyeze bonyeze kile kitovu chake inapiga tena..shida ni nn wakuu.. Hizi spika ndogo zinaimba mwanzo mwisho
set yako ya mziki ni aina moja? au speake kampuni nyingine na bufa nyngne..
 
Nina sabufa yangu nikiwasha mziki bass inaimba kidogo baadar inakata yenyewe. Inaweza kukaa had dkk kadhaa then inaimba tena..au mpaka nibonyeze bonyeze kile kitovu chake inapiga tena..shida ni nn wakuu.. Hizi spika ndogo zinaimba mwanzo mwisho
Kama mpaka ubonyeze kitovu ndo inaimba, hapo shida ni zile wire tunaziita flex wire. Zina rangi ya gold, ziko mbili kwenye frem ya spika yako. Inabidi fundi azibadili hizo. Inaonekana mkuu unapiga mziki kwa sauti kubwa sana
 
Ni kweli mkuu naitumia library...ngoja nifate ushauri wako
 
Mkuu pitia hapa kidogo Niulize chochote kuhusu subwoofer
 
Sab woofer langu linakata na kuacha kuongea upande wa redio. Upande wa Usb na Auxin ni fresh mwanzo mwisho. Yan ukiliwasha upande wa redio unafanya kazi kwa nusu saa tu then linaanza kuchemka then linakata sauti.
Ni aina boss lakin mchina
Tatizo nn wakuu
 
Back
Top Bottom