Basic needs!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Food,clothes,shelter and SEX. ukikosa moja kati ya haya unaweza ukaathira kiakili na kimwili..

waliongezea SEX as a basic need hawakukosea yani kukosa hii kitu ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili.
 
Ulisoma nje ya darasa au ndo kina Mlugo 2013
 
Ukikosa mapenzi waweza kufa kweli??

Ipo tu kwasababu ni nature na ni lazima iwe hivyo ila sidhani kama ni muhimu as chakula ( kwa mawazo yangu)
 
Ukikosa mapenzi waweza kufa kweli??

Ipo tu kwasababu ni nature na ni lazima iwe hivyo ila sidhani kama ni muhimu as chakula ( kwa mawazo yangu)

kwani ukikosa mavazi unaweza kufa?
 
Basic needs za wanajeshi wa nchi za Magharibi: War, Sex and Wine!
 
kwani ukikosa mavazi unaweza kufa?

Hahahahahaa...anyway iko hivi,huwezi kuishi bila mavazi..tumezoea kuvaa nguo ( yaani ndo mfumo wa maisha,ukiwa uchi mitaani lazima tukuone umechanganyikiwa/ sio mtu wa kawaida yani kuna ufyatu kichwani)..ni lazima kujisitiri...sasa usije na hoja za ooh mbona wengine wanavaa nusu uchi,mie sizungumzii hayo

Pili ni lazima tule ili tuweze kuishi,right?
Tatu,malazi...hapa sijaelwa saana kwamba ni lazima ulale usingizi (though kibiolojia ni lazima ulalle)au upate pa kulala (sikufanikiwa kumuliza mwalimu wangu)

"Basic needs" ni mahitaji ya muhimu kwa binadamu ili aweze kuishi( kwa uelewa wangu)

Sasa when it comes to "sex" ya kufanya mapenzi kwa nilivyokuelewa...sio basic need...inaweza ikawa inafanyika lakini haina umuhimu kihivyo na ndo mana ni mpaka mtu afikie umri fulani ndo afanye ( umri wa balehe) pale ambapo mwili na akili ndo vinapelekea wewe kuhitaji kufanya hivyo...
Sijui nimejibu hoja yako?

Labda ungetoa chanzo kwamba umetoa wapi ndo ungeweza kunishawishi kidogoo
 
Food,clothes,shelter and SEX. ukikosa moja kati ya haya unaweza ukaathira kiakili na kimwili..

waliongezea SEX as a basic need hawakukosea yani kukosa hii kitu ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili.

Si kweli mkuu. Kilichoongezwa kwenye basic needs ni BELIEF. Hay ya sex ni uongo....
 
Wacha kabisa!... sex muhim aisee, nilipitisha miezi 3 bila hiyo kitu nilikuwa kama kichaa vile, nyumbani, kazni kote wananishangaa, mbaya zaid nikawa sijitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…