Basi zuri la kwenda Iringa kutoka DSM

Basi zuri la kwenda Iringa kutoka DSM

Iringa ndio sehemu yangu ya kazi, Chukua ABC hao jamaa ni next level kwenye customer care na u ora wa magari

ABC kwa Kweli wamebadilika kwa kiasi Kikubwa sana

Hata kutuma parcel wamefanya maisha yamekua nafuu sana
 
Ukiona huelewi ,kajipandie hakuna kulala sa10 jioni iringa 8 usiku ipogolo unashuka
 
Hawa upendo matako kweli ndo nimepanda Leo wamesema linaondoka saa 1 mpak saa 2 tupo Mbezi
Pole sana mkuu. Nilishawahi jichanganya. Unajua ilikua longtime sijatimba Iringa sasa enzi izo mkali wao alikua Upendo. Nikajua bado. Dah nililia.
 
Ukipanda upendo bus jua utaodoka Dar saa 12 asubuhi na Iringa utafika saa 2 usiku na kunguni kama zawadi huko uendako, pls nakushauri panda ABC hutajilaumu!
Nimekumbuka miaka ya nyuma nilivyoenda mafinga ni zaidi ya mkokoteni
 
Back
Top Bottom