Basi zuri la kwenda Iringa kutoka DSM

Basi zuri la kwenda Iringa kutoka DSM

Nimeona watu wameandika
Upendo
Alsaidy
Abood

Kwa ufahamu wangu na uzoefu wangu bus pekee zuri ni ABC nakushauri uende na hayo waliyotaja wenzangu urudi na ABC au nenda na ABC urudi na hao wengine

Why ABC
  1. Mwendo wa kistaarabu no rush
  2. No music noise
  3. Clean and smart attendants
  4. Madereva wasikivu - wanajali dharura yoyote ya msafiri ...nahisi wanapewa semina elekezi
  5. Mabasi yanafanyiwa usafi wa kutosha
  6. Hutaona kuku, bata au punje za mtama, ulezi wala karanga ndani ya bus
  7. Ukiita mhudumu anakuja haraka hakuna kuulizwa shida toka mbali
  8. Hutaona abiria wanatapika kona za Iyovyi
  9. Kwenye matuta hutarushwa hata kama umekaa siti ya nyuma
  10. Ukiwa na headphones zako hutasikia kelele za muziki wa public

Upendo - mengi yamechoka na sijayaona barabarani muda mrefu
Alsaidy - hovyo kabisa mwendo mkali wanafukia matuta njiani na kelele za muziki mwanzo mwisho
Abood - mkifika Morogoro mnapelekwa garage mnashushwa mnasubiri hadi gari lichekiwe for 30+ minutes

Usiache kuleta mrejesho
Upendo nazani nyagawa alifirisika kauza yote yanaenda vijijini amebaki mdogo wake na bas zake za economy iringa-dar
 
ABC Upper Class - 0733 018 008 (Iringa) +255 715 489 841 (Dar)

Al Saedy (muda ni mali) - 0659 117 211 (Iringa) 0657 424 221 (Dar)

New Force / Golden Deer - newforcebus.co.tz (kata tiketi online - hakuna mambo ya uswahili swahili)

Lolote katika hayo ni gari zuri. Abood tatizo lao ni kupelekana garage kwao na kulazimishwa kushuka msubiri nusu saa zima
 
Lolote katika hayo ni gari zuri. Abood tatizo lao ni kupelekana garage kwao na kulazimishwa kushuka msubiri nusu saa zima
Ni kero sana, mbaya zaidi hakuna sehemu ya kukaa kusubiri na mnaachwa nje ya garage kwenye vumbi na jua kali
 
Km upo mbezi nicheki dm tunaenda iringa leo private saa kumi na mojs
 
Back
Top Bottom