Basi lenye abiria saba

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,810
1,373
Yupo abiria anayemtukana Konda ...lakini kumbe nauli ameacha nyumbani.

yupo aliyepitiwa na usingizi...huyu anapokurupuka hajielewi....utasikia shushaaaa bwege wee!..........anashushwa kambi ya jeshi!

Yupo mwingine msumbufu na mvivu halafu ana lawama....huyu anakaa mbali na mlango halafu usishangae akaomba msaada kwenye round about.

Yupo aliye makini na Safari..yeye anakwenda na Muda, huyu ukimpitisha kituo gari itajikuta Sumatra Head office.

Halafu Yule wa siti ya nyuma yeye hukoroma na tiketi mkononi ...huyu haigwi. ...maana mara nyingi hushukia kituo cha mwisho hata kama ni Makaburini.

Yupo asiyeelewa jina la kituo..amekariri panauzwa Mananasi Mengi, sasa akikuta Wameweka Matikiti basi ataenda na gari mpaka gereji.

Wa mwisho ni Staff...halipi nauli...huyu yeye hana safari maalum, ni kama anafanya utalii wa ndani, huyu hashuki hata kama ni trip ya Mkaa.
 
Wa mwisho ni Staff...halipi nauli...huyu yeye hana safari maalum, ni kama anafanya utalii wa ndani, huyu hashuki hata kama ni trip ya Mkaa.[/QUOTE

Mkuu umesahau abiria anayetumia ticket ya mtu halafu anawasimanga wanaomba msaada wa nauli ya 300#!
 
Yupo abiria anayemtukana Konda ...lakini kumbe nauli ameacha nyumbani.

yupo aliyepitiwa na usingizi...huyu anapokurupuka hajielewi....utasikia shushaaaa bwege wee!..........anashushwa kambi ya jeshi!

Yupo mwingine msumbufu na mvivu halafu ana lawama....huyu anakaa mbali na mlango halafu usishangae akaomba msaada kwenye round about.

Yupo aliye makini na Safari..yeye anakwenda na Muda, huyu ukimpitisha kituo gari itajikuta Sumatra Head office.

Halafu Yule wa siti ya nyuma yeye hukoroma na tiketi mkononi ...huyu haigwi. ...maana mara nyingi hushukia kituo cha mwisho hata kama ni Makaburini.

Yupo asiyeelewa jina la kituo..amekariri panauzwa Mananasi Mengi, sasa akikuta Wameweka Matikiti basi ataenda na gari mpaka gereji.

Wa mwisho ni Staff...halipi nauli...huyu yeye hana safari maalum, ni kama anafanya utalii wa ndani, huyu hashuki hata kama ni trip ya Mkaa.
 
Kuna yule ambae halipi nauli anabishana na konda kwamba alishalipa
 
Watu mnajua kutafakari so mchezo
 
Back
Top Bottom