Basi laacha njia mteremko wa sekenke Singida

chachu

Senior Member
Joined
May 17, 2011
Posts
141
Reaction score
16
Basi la Allys toka kwenda Mwanza limeacha njia na kuingia kwenye mteremko wa mlima sekenge. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo break zilifell. Watu wote wametoka salama
 
Attachments

  • IMG_20140104_131432.jpg
    IMG_20140104_131432.jpg
    261.8 KB · Views: 1,054
  • IMG_20140104_131359.jpg
    IMG_20140104_131359.jpg
    430.1 KB · Views: 935
Mungu ni mwema,sifa na utukufu ni kwake!
Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.
 
tunashukuru wako salama. Mungu awaongoze wamalizea safari salama.
 
Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.
Ushindwe na Ulegee!!!!!
 
Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.

Humu kuna majini huwa yanachangia hizi thread pia
 
Basi la Allys toka kwenda Mwanza limeacha njia na kuingia kwenye mteremko wa mlima sekenge. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo break zilifell. Watu wote wametoka salama

hulo lilifikaje? halafu hii ardhi ya singinda mwanza?
 
shukran pia kwa wajenzi waliojenga barabara hiyo upya ingekua ndio ile ya zamani tungekua tunaandika mengine sasa
 
Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.

Uzuri wake hata Shetani ni Mungu "2korintho 4:4"
 
Back
Top Bottom