Basi laacha njia mteremko wa sekenke Singida

Basi laacha njia mteremko wa sekenke Singida

Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.

nimeishia kucheka tu maana sidhani kama unamfahamu Huyu mtu unaemchokoza hivi. Hana masiala na mtu Huyu ohooooo Ndio maana kajificha sio mjinga. Shauriyo
 
Chonde chonde na hizo sifa na utukufu kwa Mungu, manake Mungu ni kama mgema, leo akisifiwa kesho analikoroga na maji, utasikia wamekufa ishirini wiki ijayo hapo hapo maeneo.

Wewe umevurugwa,kichwani hauko sawasawa....kenge mkubwa
 
Wewe umevurugwa,kichwani hauko sawasawa....kenge mkubwa
Sawa, lakini cha ajabu ni kwamba mtu ambae siko sawasawa kichwani, kama unavyosema, nimekwambia kitu ambacho wewe uliye mwingi wa karama kichwani umeshindwa kabisa kukipinga kwa hoja bila kutukana. Unamtetea Mungu, ambae anafundisha uvumilivu, heshima, upendo na kiasi, halafu hapo hapo unaniita kenge, sasa mbona wewe uliye sawasawa kichwani una upeo wa kipepeo?

Uzuri wake hata Shetani ni Mungu "2korintho 4:4"
Huo mstari unasema: "Ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."

Which means, mimi sina maamuzi au uwezo binafsi wa kumtii huyu Mungu kwa vile kumbe kila kitu ameshakipanga juu yangu, amenipofusha fikra na kunizuia nisione nuru ya injili, hata ningepaparika vipi. Sina free will.

Sasa Mungu gani huyu ambae anataka tumuamini lakini hapo hapo anakupofusha fikira na kuzuia nuru ya injili isikufikie? What's the point? Ni logic ambayo haiingii akilini hata kwa mtoto wa darasa la tatu, I mean that verse is the most nonsensical theory in all of theology.

Lakini kama huo mstari una mantiki, basi namsubiri yeye Mungu mwenyewe ndio aniondolee upofu, aliyelikoroga ndio alinywe, kama alivyofanya kwa Paulo aliyewaandika huo mstari Wakorintho. Kwa sababu Paulo nae alikuwa ka mimi, in fact worse off, gaidi muuaji hasidi kama bin Laden, lakini bila hata kutubu, bila hata kujuta, siku moja Mungu akamchunuku, akampendelea, just like that, akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa Injili, mkuu wa watume wa kusambaza injili. Yani hata Kikwete ambae amekosolewa kwa kutofanya vetting ya viongozi wake hawezi kuteua serial killers kuwa wasaidizi wake ovyo ovyo namna ile.

Kwa hiyo na mimi nasubiri neema ya Mungu initokee siku moja wakati nasema jamani huyu Mungu ni mzushi na mzembe na haleti mantiki, kama Paulo alivyotokewa njiani akienda kukata koromeo na korodani za wakristo, anambie ye mwenyewe, ni vigumu kwako kupiga mateke mchokoo.


nimeishia kucheka tu maana sidhani kama unamfahamu Huyu mtu unaemchokoza hivi. Hana masiala na mtu Huyu ohooooo Ndio maana kajificha sio mjinga. Shauriyo
Hana masihala kivipi wakati ana run dunia utafikiri anaongoza ngoma ya mdumange? Leo anaokoa watu Sekenke kesho anaua ishirini Kitonga. Sio masihara hayo?

Tutafute njia za kupunguza ajali barabarani, ma imani ya karne ya tano hayatasaidia, Mungu ameshastaafu.

 
Back
Top Bottom