Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!

ZAKARIA EXPRESS basi linalotoka jijini Mza kwenda Musoma limegonga daladala ndogo aina ya NOAH na kuua watu wanane hapohapo. Majeruhi wengine hali zao ni mbaya na wamekimbizwa hospt kwa matibabu zaidi. PETER ZAKARIA ni mmiliki wa mabasi hayo. tar 20 . 2 . 2012 nilipanda basi la zakaria (bahati mbaya tiketi haijaandikwa na. za gari) ila ina VAT NO 18-004785-H, nilikua natokea musoma kwenda mza, lilikua likikimbia kwa mwendo wa kasi sana huku likiwa linayumba. Tulipofika mbele ya Ramadi kwenye break point ya polisi walianza kushusha magunia 8 niliyoyadadisi ilikua ni MIRUNGI, polisi waliyapokea na kumkabidhi pesa dereva. Nilipojaribu kuuliza nikaambiwa haya mabasi huvunja sheria za barabara na polisi wa usalama hawana ubabe wa kuyazuia. PETER ZAKARIA ni mfanyabiashara maarufu wa magendo ukanda wa ziwa. Ni mweusi, mnene wa wastani. Anasifika kwa ubabe kwani alishamwagia tindikali dereva wa Bunda basi, alishamtishia bastola padri kwenye mazishi kwa mahubiri yaliyomgusa, bingwa wa kuuza mafuta ya magendo kutoka kenya, inasemekana huteka meli za mafuta kutoka Kisumu kenya. Kuanzia RPC, RPO na TRA mkoa wa mwanza na Mara mwisho wa mwezi hupelekewa bahasha kuwapooza. Ni kada na mfadhili wa CHAMA CHA MAPINDUZI! swahiba wake mkuu ni Mwita Gachuma mjumbe wa NEC taifa. Inasemekana pia ana jeshi lake binafsi na selo za kuwaadhibu maadui zake! Naomba jeshi la polisi nchini kuingilia kati na kudhibiti vyombo vyake vya usafiri.

nasikia alishawahi kuingiza basi zima la watu 60 kwenye yard ya ofisini kwake na kuwacharaza viboko......bahati mbaya kulikuwa na ofisa fulanifulani kati ya abiria......kidogo ilimcost....

 
una mfamu huyu mzee kijujuu lakini ungekuwa unamfahamu ki undani ungeelezea ukwel uliopo lkn nacho jua kwenye utafutaji hasa kwenye mazingila ya mji wa tarime lazima uwe mbabe tofauti na hapo kupoteza maisha ni sekunde kwa hyo kwa mzee zakaria kuwa na ubabe ni jambo la kawaidani baba yangu mdogo kabisa ila niseme ukweli siku hizi amepoa sana kwanza kwa sababu ya umri na kipindi cha nyuma ubabe ulikuuwa mwingi kwa sababu ya utafutaji na swala la kusema ni jambazi anateka magari ya mafuta nitamkatalia akuna kitu mzee anacho chukia kama wizi hasa wakutumia bunduki na amekuw a mstari wa mbele kusaidia na kupambana na majambazi hasa waliokuwa wanaisumbua tarime ni hayo tu jaman mzee yuko poa hana neno anatupa huduma za usafiri ametupatia maji mji mzima wa tarime tumsifu kwa hayi na wakurya wanampenda sana huo ndio ukweli

wakurya wanampenda wakamyima udiwani?. Akashindwa na kijana mdogo toka SAUT asiyekuwa na hela. Hebu kuwa mkweli.
 
Mkuu umenena yooote. Unamjua huenda mnatoka wote pale Tarime. Jamaa anaogopewa huyo weee acha tu. Madereva wake wote wanvuta bangi kabla hawajaanza safari. Niliwahi kusikia kwamba IGP wa zamani alikuwa akitua kwake huko Tarime kwa helkopita kwenda kumsalimia kamanda Peter Zakaria.

Ile kesi ya kumumwagia Tindikali dereva wa Bunda Bus (competitor wake) iliishia wapi?

jamaa alomwagiwa tindikali amebaki kuwa mlemavu hadi leo hii. Polisi ilidai hakuna kesi.
 
Na bado NOAH zitaua wengi kizembezembe yaani madereva wake ni wale waliopitia kuendesha bodaboda uzoefu wao wanapitishwa kubeba roho za watu haishangazi dereva wa noah alikuwa anapiga uturn kwenye high way akakutana usokwa uso na Zuberi na wote ndani ya Noah wamevuta palepale wa basi wote wamepona!!

Hiyo wapi tena mkuu?
 
hiyo route ya sirari - tarime - mwanza kama vile ilorogwa na mchawi akafa, imeshindikana kabisa kumpata mtu wa kushindana na huyu gamba,
 
0000
nimeishapanda Zakaria express zaidi ya mara 5 kwenda Musoma kutoka mwanza. Trip ya msm ipo pia.

Mabasi haya hayana route za msm bali sirari-mwz. ila tabia za mmiliki wake ni mbaya kuliko zinavyoelezeka muuaji, jambazi, mmbabe. moja ya gari zake zimeandikwa ccm no. one, ho-----
 
Poleni sana wafiwa ila ni jambo la kumshukuru mungu kuwa kidogo Peter Zakaria anabadilika ni toufauti na miaka ya 95 enza za yule IGP alikuwa na kiburi zaidi kwani alikuwa rafiki yake wa karibu na ninakumbuka IGP huyo alifanya ziara Tarime nilishuudia Zakaria alivyokuwa karibu nae na kuna wakati walitumia gari moja.
 
jamaa alomwagiwa tindikali amebaki kuwa mlemavu hadi leo hii. Polisi ilidai hakuna kesi.

kesi iliendeshwa na kama wanavyosema kuzungumuza miongoni mwa pande zote ambazo ni maasimu ufumbuzi upatikna na dereva alinunuliwa Lori la kufanyia baishara, kama alikubali kuna haja ya gani tena ya kuendelea na kesi?
 
Back
Top Bottom