Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by don-oba, Feb 29, 2012.

 1. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,383
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ZAKARIA EXPRESS basi linalotoka jijini Mza kwenda Musoma limegonga daladala ndogo aina ya NOAH na kuua watu wanane hapohapo. Majeruhi wengine hali zao ni mbaya na wamekimbizwa hospt kwa matibabu zaidi. PETER ZAKARIA ni mmiliki wa mabasi hayo. tar 20 . 2 . 2012 nilipanda basi la zakaria (bahati mbaya tiketi haijaandikwa na. za gari) ila ina VAT NO 18-004785-H, nilikua natokea musoma kwenda mza, lilikua likikimbia kwa mwendo wa kasi sana huku likiwa linayumba. Tulipofika mbele ya Ramadi kwenye break point ya polisi walianza kushusha majunia 8 niliyoyadadisi ilikua ni MIRUNGI, polisi waliyapokea na kumkabidhi pesa dereva. Nilipojaribu kuuliza nikaambiwa haya mabasi huvunja sheria za barabara na polisi wa usalama hawana ubabe wa kuyazuia. PETER ZAKARIA ni mfanyabiashara maarufu wa magendo ukanda wa ziwa. Ni mweusi, mnene wa wastani. Anasifika kwa ubabe kwani alishamwagia tindikali dereva wa Bunda basi, alishamtishia bastola padri kwenye mazishi kwa mahubiri yaliyomgusa, bingwa wa kuuza mafuta ya magendo kutoka kenya, inasemekana huteka meli za mafuta kutoka Kisumu kenya. Kuanzia RPC, RPO na TRA mkoa wa mwanza na Mara mwisho wa mwezi hupelekewa bahasha kuwapooza. Ni kada na mfadhili wa CHAMA CHA MAPINDUZI! swahiba wake mkuu ni Mwita Gachuma mjumbe wa NEC taifa. Inasemekana pia ana jeshi lake binafsi na selo za kuwaadhibu maadui zake! Naomba jeshi la polisi nchini kuingilia kati na kudhibiti vyombo vyake vya usafiri.
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hi hii hajaliwi mtu tena inajaliwa cheo na mshiko,upumzike pema peponi baba wa taifa Mwl J.K.Nyerere
   
 3. m

  msnajo JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Iko cku moja ataonja mauti kama wengine. Hata afanye nini kifo lazima atakabiliana nacho cku moja na hukumu yake huko kwa muumba. wafiwa poleni sana na majeruhi Mungu awape uponyaji muendelee na maisha yenu, japokuwa ni ya hali ya chini sio kama ya mbabe Yakaria.
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  akijua umemwanika huku na ushasema ana selo yake kuwa makini usije ukapelekwa huko, wengine wanamcho ya shehe yahaya hata ukitumia id ya kuchakachua anakujua tu
   
 5. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo story peleka Issa michuzi
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,455
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  ukiwa na pesa unaweza kufanya lolote ndugu; sasa nakushauri wewe endelea ya yako cha msingi siku zinasonga na unavuta oxjeni ya bure.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli tanzania kubwa aisee nilifikiri wababe kama hao wameisha kumbe bado wapo.Mwamishieni arumeru akutane na wameru
   
 8. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 404
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poleni wafiwa.Mungu azilaze mahala pema roho za marehemu
   
 9. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,383
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  magamba utawajua tu hata ajifiche vipi.
   
 10. m

  mubi JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Poleni sana Wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwenu Mungu awe nanyi awape moyo wa uvumilivu na ustahinilivu. Marehemu wapumzike kwa amani ya bwana wetu Yesu kristo. Tatizo kubwa Tanzania Idara nyingi wafanyakazi hawafanyi kazi kwa motisha kwa muda mrefu , kwa namna hiyo imekuwa kama ndiyo hali ya kazi ilivyo. Polisi hawafanyi ipasavyo, hawana vitendea kazi vinvyoendana na karne hii, mishahara midogo haikidhi maisha yao.Hakuana wataalaam wakutosha. Pole sana mama Tanzania.
   
 11. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  SHUKRANI kwa taarifa.
  Wafiwa poleni.
  Mleta taarifa ulikusudia kutujulisha msiba au maisha ya Zakaria?
   
 12. D

  Donl Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli hii peleka michuz.hamna gar la zakaria lnalo toka musoma to mwanza.Magar ya zakaria yanatoka tarime/sirari to mwanzaa.
   
 13. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,383
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimeishapanda Zakaria express zaidi ya mara 5 kwenda Musoma kutoka mwanza. Trip ya msm ipo pia.
   
 14. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,383
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  maisha na jeuri ya mmiliki wake ndo adha inayopelekea ajari za mabasi yake!
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Na bado NOAH zitaua wengi kizembezembe yaani madereva wake ni wale waliopitia kuendesha bodaboda uzoefu wao wanapitishwa kubeba roho za watu haishangazi dereva wa noah alikuwa anapiga uturn kwenye high way akakutana usokwa uso na Zuberi na wote ndani ya Noah wamevuta palepale wa basi wote wamepona!!
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Unazungumzia hapa Tanzania au Sudan...?
   
 17. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wameru hawatamweza huyu Piter zakaria ni mkurya wa tarime .hua anatembea na miguu ya kuku miwili chamsingi wewe fata mambo yao maana huyu jamaa ni noma
   
 18. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wewe acha ubishi magari yakwenda musoma yapo
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 4,058
  Likes Received: 11,955
  Trophy Points: 280
  Hawa majeruhi wamekimbizwa hospitali gani?

  Japokuwa umetutaarifu kuhusu ajali lakini naona maelezo yako yamejikita zaidi kwa mmiliki wa haya mabasi (ambaye nna hakika si dereva)

  Ukanda wa ziwa wanamjua sifa mbovu za huyu jamaa lakini hebu toa maelezo zaidi kuhusu ajali na si historia ya Zakaria na wenzake
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  usidharau mambo kirahisi hivyo kuna tunaomfaham huyu bwana, uongo hapo kidogo,ukweli mwingi
   
Loading...