Basi la Tahmeed lililokuwa likitokea Tanga likielekea Dar es Salaam, lateketea kwa Moto

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Leo Bus la tahmed lilikuwa latoka Tanga likielekea Dar es Salaam limeteketea lote na moto na wamepona abiria lakini mizingo na bus lenyewe vimeungua vyote. Basi hilo lilikuwa likipita barabara ya Chalinze- Segera.

Shuhudia Pichani:


inddex.jpeg


index.jpeg
 
Poleni japo jeshi letu la police bado hawana vifaa, nawaona kwa mbali wanapiga story,wakiwa hawana la kufanya.
 
Back
Top Bottom