Basi la SSB lapata ajali

Pole kwa majeruhi, kwa tathimini ya haraka inaonesha hakuna vifo...
 
Kuna watu wapumbavu sana humu jf, unadhani hilo basi lilibeba wana CCM?
 
Na huko same pia kuna ajali mbaya sana imetokea, na gari zimewaka moto na vifo vipo, sijui huu mwezi una nini kumekuwa na ajali nyingi sana kwa kweli
 
Gundu imetokana na hayo Maandishi hapo juu.

Mungu hataniwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…