Laenda wapi? Je wewe uko ndani ya ilo basi au la?BASI HILI limetoka dodoma leo saa 12 asbuh. Linakimbia kama swala mwendo ambao ni hatari. Nashangaa asbuh hii hakuna tochi au.
Umetumwa?BASI HILI limetoka dodoma leo saa 12 asbuh. Linakimbia kama swala mwendo ambao ni hatari. Nashangaa asbuh hii hakuna tochi au.
Itakuwa hana namba zao ndio maana ameamua aiwasilishe huku ili tusaidiane kufikusha ujumbe kwa wahusikaMmh unashindwa kumkemea dereva au kupiga simu polisi??
0742820000...achukue namba hizo apigie wahusika wa usalama barabaraniItakuwa hana namba zao ndio maana ameamua aiwasilishe huku ili tusaidiane kufikusha ujumbe kwa wahusika
BASI HILI limetoka dodoma leo saa 12 asbuh. Linakimbia kama swala mwendo ambao ni hatari. Nashangaa asbuh hii hakuna tochi au.
Mpwa unamfahamu swala kweli?? HahahahahaBASI HILI limetoka dodoma leo saa 12 asbuh. Linakimbia kama swala mwendo ambao ni hatari. Nashangaa asbuh hii hakuna tochi au.
Kumbe ni mkosefu mzoefu
- Hili basi nalijua na dereva wake na mjua, ingawa jina limenitoka
- Majuzi tu alikuwa akisakwa na Polisi baada ya kuchelewa kulipia fine
Hii namba inatumika nchi nzima mkuu0742820000...achukue namba hizo apigie wahusika wa usalama barabarani
Sikukuu inakaribia,angalieni asije watoa kafaraBASI HILI limetoka dodoma leo saa 12 asbuh. Linakimbia kama swala mwendo ambao ni hatari. Nashangaa asbuh hii hakuna tochi au.
unanitaka0742820000...achukue namba hizo apigie wahusika wa usalama barabarani
Atakuwa anamfananisha2. Swala huyu huyuMpwa unamfahamu swala kweli?? Hahahahaha
Hahahahaha