jamani tusipende sana kuwalaumu wamiliki wa magari kwani wao wanafanya biashara ila tatizo ni kwa abiria wenyewe kwani hata wakiambiwa gari imejaa bado wanagombea kuingia ili wasimame, Jambo la msingi serikali yetu ichukue hatua kali za kinidhamu kwa abiria aliyesimama pamoja na mmiliki wa gari aliyesimamisha abiria sio kusubiri ajali zitokee kwanza