Basi la Princes Munaa lapata ajali Dodoma

Basi la Princes Munaa lapata ajali Dodoma

Kumbe nawe umeiona hiyo kitu, nilipoona picha nikaona kitu hicho, nikajiuliza maswali kadhaa halafu nikakosa majibu. Hebu wajuzi wa mambo watupe majibu kama yapo, hicho ni kitu gani, ni moto gani huo wapendwa?

Nilianzisha thread hapa kuhusu hizo picha naona MODDS wameifuta. Hapo ukiangalia kwa kutulia hiyo picha huyo ni mnyama SIMBA tena ametanua mdomo kabisa.
 
Kutosafiri haiwezekani ni lazima tusafiri tu! How sasa? Zianzishwe huduma za M-WATU/AIRTEL WATU? Is it POSSIBLE?

Duh! If it is possible, sijui itakuwaje ndo ushatumwa kwenye M-WATU then network inasumbua huku ushatoka kule haufiki, network kuja kukaa sawa siku mbili zinapita
 
Nilianzisha thread hapa kuhusu hizo picha naona MODDS wameifuta. Hapo ukiangalia kwa kutulia hiyo picha huyo ni mnyama SIMBA tena ametanua mdomo kabisa.

hzo picha zimekaa kshetani kabisa asee...kuwa na Mungu safarini ni jambo la msingi sana
 
Hivi punde, kumetokea ajali ya Basi la Princes munaa lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma.

Halijaua lakini kuna Majeruhi.
attachment.php

attachment.php



Hivi wangwana!, kunaweza kukawa na mahusiano mahusiano yoyote baina uchaguzi mkuu,upingaji wa mauaji ya albino na hizi ajali?
Ee mungu tulinde kutokana na Shari za mashetani,na Shari za watu wenye mipango michafu.
Aamin!
 
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.

Nitaacha kuripoti matukio haya.

hapana mwanajeshi haogopi vita unalofanya no zuri sana kwa wale tunaosafiri kila Mara unatusaidia pia unajenga image ya kuaminika ya jamiiforum . keep it up! wanadamu hatulidhiki na wakati mwingine kulizika kwetu ni kwa kulalamika, hatujafundishwa kushukuru na kutoa sifa kwa MTU akiwa anafanya vzr kila wakti wamezoea kuuliza kwanini yeye tu lakini nauhakika hajali ikitokea wanaangalia nani kaleta kama Fulani in kweli na mioyo yao inakusifia
 
hili basi sitakuja kulipanda!! nilipanda wakati Fulani naenda dar lilikua linachemsha balaa liliharibika injin kama Mara tatu kama si nne..!! aiseeh tuliingia dar saa saba usiku..kuja kuulizia kumbe ni kawaida yake.Basi zuri kwa njee lakini kumbe injin mbovu
 
Hivi wangwana!, kunaweza kukawa na mahusiano mahusiano yoyote baina uchaguzi mkuu,upingaji wa mauaji ya albino na hizi ajali?
Ee mungu tulinde kutokana na Shari za mashetani,na Shari za watu wenye mipango michafu.
Aamin!

Ukiangalia hii picha kwa makini kweli hali si shwari inaonekana nyuma ya pazia nako kuna kitu.....!!!

Ng2.jpg
 
hakika kuna jambo,,hii sio kawaida kabisa,,na sidhani kama chanzo ni mwendo kasi au mambo ya sheria mana kama ni mwendo kasi ulikuwepo toka zamani ila haijawahi kuwa hivi aisee!

Ajali zaidi ya 5 ndani ya siku 3
 
Kuna kitu si kawaida.

wahusikA wameacha kuchinja albino.sasa wanataka damu za abiria.
Inasadikiwa wale wenye nia ya kupata Mali,madaraka walikuwa wanatumwa kutafuta viungo vya albino.sasa RPC wa mikoa yenye shida hiyo waliwakamata waganga na wapiga ramli suala la albino limepungua.
Kwa sasa, nahisi hata madereva wanaenda kwa waganga ili wapate kudumu kwenye ajira zao,kama sio hivyo ,wale wateja wa albino wanapitia kwenye ajali hizi za barabarani.!!!!
 
Makafara ni shidaaa, ajali nyingi zina harufu ya mazingara ya utoaji wa kafara kwa wenye magari.
 
Back
Top Bottom