Basi la Princes Munaa lapata ajali Dodoma

Basi la Princes Munaa lapata ajali Dodoma

Leo majira ya saa nne hivi pale kwenye traffic lighs za sayansi, nilikuwa nawaangalia wasimamizi wa usalama barabarani wanavyowajibika. Neno halisi na sahihi ni arogance. Kwa arogance kubwa walikuwa wakichomoa gari moja moja kwenye foleni ya kawaida kwa mahojiano pembeni mwa barabara. Wakati mahojiano yanaendelea, utaona mikono yote iko ndani ya gari. Kwa wazoefu, hi ni njia yao ya ko solicit kupewa hongo.
Ajali zinatumaliza na huku wajamaa wanomba hongo.

Nani amfunge paka kengele?
 
Back
Top Bottom