cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
ccm mwaka huu hata mroge vipi..
Watashindwa na kulegea.
ccm mwaka huu hata mroge vipi..
Hivi punde, kumetokea ajali ya Basi la Princes munaa lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma.
Halijaua lakini kuna Majeruhi.
![]()
![]()
Ukiona mtu hapendi unavyo ripoti AJALI basi wewe jua kuwa huyo ni MSHIRIKA NAMBA 1 WA KUSABABISHA HIZO AJALI. Nchi hii imejaa washirikina wengi sana.Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
Nitaacha kuripoti matukio haya.
Tumeshazizoea ajali za magari....sasa tunataka kusikia ajali za ndege tu.....
Tentatively look at this one.....
View attachment 243055
Tumeshazizoea ajali za magari....sasa tunataka kusikia ajali za ndege tu.....
Ajali za mabasi Tanzania ni kama habari za katiba mpya (tushazoea).
Pumba.v
Kumbe nawe umeiona hiyo kitu, nilipoona picha nikaona kitu hicho, nikajiuliza maswali kadhaa halafu nikakosa majibu. Hebu wajuzi wa mambo watupe majibu kama yapo, hicho ni kitu gani, ni moto gani huo wapendwa?Tentatively look at this one.....
View attachment 243055
Zimetimia mkuu....
mpaka nione cheti cha daktari