Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
Fanya kazi yako mkuu, ANGALIA/JALI MASLAHI YAKO! Siku zote PENYE RIZIKI,,,! Hakuna kazi hususan kazi ya WITO kama yako isiyokuwa na CHANGAMOTO! Wachungaji wenyewe kilasiku wanapakaziwa kutembea na waumini wao ambao ni wake za watu! Sembuse ww mkuu! PIGA KAZI naamin THAWABU zako zipo kama sio humuhumu JF basi KWENYE BASI UTALOPATA NALO AJALI! Watakufa wote ISIPOKUWA WEWE utupe Taarifa na Picha! SALUTE SANA MKUU!
Kinachotushangaza ni kwamba huyu mkuu amespecialize kwenye habari za ajali Tz nzima? yaani sidhani kama watu wanampa majina kwa dhumuni baya bali wanashangazwa na hii specialization. Huyu mkuu anatoa habari na kukoleza na picha kabisa kwa coverage ya 80+ ya area ya Tz