KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Nasikia kuwa huwa inakwenda kununua vitafunwa vya waheshimiwa ulaya......hivi ile ndege ya Rais bado inafanya kazi?
Nasikia kuwa huwa inakwenda kununua vitafunwa vya waheshimiwa ulaya......hivi ile ndege ya Rais bado inafanya kazi?
Mungu okoa jahazi
Nimekula maharagwe ya soya lakini sina hakika kama yaliwiva vizuri.....Rafiki umekula maharagwe ya wapi .......
what the hell is going on ? ?????????????
what the hell is going on ? ?????????????
what the hell is going on ? ?????????????
Mungu alishaondoka Tz
Kwa ajali lazima iue? Mleta taarifa jipange
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
Nitaacha kuripoti matukio haya.
asante mkuu nitafuatilia
- hos. 13:14
nikuanza kufungia makampuni ya usafirishaji pale inapoonekana dereva kasababisha ajali kwa uzembe ... Ili kila mtu awe makini ...since u left, everyday nyama tu cherry wanje! Tatizo ni za binadamu wenzetu! Aah! Tumelia wee mpaka machoz yametukauka sasa! Something should be done now, hakuna kulia tena! Ok, tusaidiane, what should we do?
may be mbaya sanaMay be uchaguzi
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
Nitaacha kuripoti matukio haya.
mwisho wa haya mazingaombwe ni baada ya uchaguzi- October 2015Mungu okoa jahazi