basi la NEWFORCE na konda wa kichina

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,747
wachina wamekaba kila kona, nimo ndani ya basi la kampuni ya NEWFORCE kutoka Kahama-Dar,
naona mhakiki tikiti ni mchina, nadhani hizi ndo zile ajira 10000 alizosema JK, sisi zimetuzidi, wenzetu toka mashariki ya mbali wameamua kuja kutusaidia ili tuzimalize kabla ya 2015. Ila basi linaviwango, it's spaceous, clean and laxurious, nitaendelea kuwajuza kadri tunavyokata mbuga. enjoy your day.
 
Hivi nyinyi watanzania mbona amwishi kulalamika. Mimi ni mtanzania ninaye ishi ngambo. Ina maana nisijiajiri kisa mtanzania. Hii dunia ya Mungu, maisha kokote.
 
Sasa si ndiyo pengine wamewekeza kwenye mabasi hayo na wameweka watu wao wenyewe. Mbona kuna ndege/hoteli Tanzania hii wahudumu ni wazungu.
 

Tatizo liko wapi mkuu?
 
Hao wanasindikiza bus akimaliza kukagua anashuka, kwa Dar huwa wanashuka Kibaha.
 
Hivi nyinyi watanzania mbona amwishi kulalamika. Mimi ni mtanzania ninaye ishi ngambo. Ina maana nisijijiri kisa mtanzania. Hii dunia ya Mungu, maisha kokote.

TAGS: Nyinyi, (nyinyi watanZania).
MIimi: mimi mtanzania ninayeishi ngambo.
Hamuachi kulalamika.
 

Kwenye hilo basi wanagawa soda, pipi n biskuti..!?
 
TAGS: Nyinyi, (nyinyi watanZania).
MIimi: mimi mtanzania ninayeishi ngambo.
Hamuachi kulalamika.

Kwa fikra hizo wanataka wabeba box waache warudi kuchoma mahindi mitaani.
 
Kwa fikra hizo wanataka wabeba box waache warudi kuchoma mahindi mitaani.

nitakugongea thanks kesho, maana kwa sasa nabofya kwa techno
 
Mkuu gama unajua km umeweza kutujuza habari hizi kutoka hapao ulipo sababu ya wachina? na unajua newforce hiyo laxury ni ya kichina? japo sifurahii kuona wachina wanfanya kazi za utingo, je driver siyo mchina?
 
Kwa akili hizi mbona taifa litazidi kuangamia, sasa ww mchina kukagua tiketi imekukwaza nn? Ww ukipewa hiyo kazi utakubali? Au ndio utataka ya kukaa ofisini kama kawaida ya vijana wengi
 
Mkuu gama unajua km umeweza kutujuza habari hizi kutoka hapao ulipo sababu ya wachina? na unajua newforce hiyo laxury ni ya kichina? japo sifurahii kuona wachina wanfanya kazi za utingo, je driver siyo mchina?

BASI NI LA KICHINA(ni zuri sana) abiria wote wanashauriwa kufunga mkanda. Dereva ni "half brother" wa rais wa sasa wa marekani........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…