Basi la HOOD T.770 AVL lapata ajali usiku huu Mbeya - Arusha

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
319
Reaction score
144
Basi la Kampuni ya HOOD LTD namba T.770 AVL lilikuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha usiku huu limegongana uso kwa uso na lori katika maeneo ya Kijiji cha Mbwewe,basi hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva aitwaye Omary Saidi, katika ajali hiyo kondakta wa bus hilo aitwaye kwa jina moja Hamisi amevunjika miguu yote.Wana JF kwa sasa picha hazikuweza kupatikana kutokana na wakazi wa pale kushindwa kupiga picha kutokana na uwezo wa simu zao.
 
Duu mchawi wa SUMRY kiboko!siku hizi haipiti wiki 2 bila kusikia ajali ya bus la HOOD!ajitathmini upya
 
Mkuu Jitahidini Kutoa Msaada kwanza kwa Majeruhi waliopata Ajali ili wakapate Matibabu Hospitali kuokoa Maisha Yao.
 
Basi la Kampuni ya HOOD LTD namba T.770 AVL lilikuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha usiku huu limegongana uso kwa uso na lori katika maeneo ya Kijiji cha Mbwewe,basi hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva aitwaye Omary Saidi, katika ajali hiyo kondakta wa bus hilo aitwaye kwa jina moja Hamisi amevunjika miguu yote.Wana JF kwa sasa picha hazikuweza kupatikana kutokana na wakazi wa pale kushindwa kupiga picha kutokana na uwezo wa simu zao.

Mwaky ataclose magar mangpi?
 
Duu mchawi wa SUMRY kiboko!siku hizi haipiti wiki 2 bila kusikia ajali ya bus la HOOD!ajitathmini upya
Alaaaa!!
Nikajua ajali zinasababishwa na kukiuka sheria na taratibu kama vile mwendo kasi, matumizi ya vilevi kwa madereva, ku overtake sehemu zisizotakiwa, n.k, kumbe zinasababishwa na mchawi wa SUMRY!

Nilikuwa sijui..
 
Mimi niko Kibaha nimepigiwa simu na vijana wangu ila wao wako pale kwa uokoaji
 
Hii sasa imezidi, sijui kuna shetani gani anazunguka barabara za Tanzania
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, "ni kitu gani kikubwa hivyo kinacho demand high price ya damu za watz kwa kiasi hiki"?

Ni nini hicho wandugu? Tujiulize kwa pamoja!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Eeeh..upo vizuri..na mchawi unamjua..bac sawa..mungu atusaidie kwa hili mana di!
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, "ni kitu gani kikubwa hivyo kinacho demand high price ya damu za watz kwa kiasi hiki"?

Ni nini hicho wandugu? Tujiulize kwa pamoja!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Si mlipiga kelele wasichukue viungo vya Albinism ngoja wachukue damu sasa chezea ikulu weye!
 
Nahisi mmiliki wa HOOD ajipange arudi tena kwa vigagula wake wakamrekebishie nyota..
 
Back
Top Bottom