Basi la Happy Nation lapata ajali Mikese

Yapo makafara ya marais tunafaham na huwa wanafanya siyo stories za mtaani. Wewe hujui haya mambo tuulize sisi tulioko kwenye mfumo. Si kila kitu kionelanavyo ndivyo kilivyo.
 
Yapo makafara ya marais tunafaham na huwa wanafanya siyo stories za mtaani. Wewe hujui haya mambo tuulize sisi tulioko kwenye mfumo. Si kila kitu kionelanavyo ndivyo kilivyo.

Na hii sio kwa marafiki tu hata kwa watu binafsi,haya matukio mengi ni ya kutengenezwa,mwisho wa mwaka huu watu wanarudisha hesabu kwa boss wao.
 
Yapo makafara ya marais tunafaham na huwa wanafanya siyo stories za mtaani. Wewe hujui haya mambo tuulize sisi tulioko kwenye mfumo. Si kila kitu kionelanavyo ndivyo kilivyo.
Ushahidi upo...?

Waafrika tuna udwanzi fulani hv wakuamini mambo ya kusadikika.....na hatupendi kufanya utafiti
 
Hilo sisi hatujali, mpaka umeanza hiyo biashara ulikuwa tayari ku bear the coming risks, so what we need is maximum safety for the passengers. Hizo blah blah za maintenance and operation is none of our business.
Hama nchi ili upate hiyo maximum safety ila kama upo ndani ya nchi hiii utahama kampuni zote na utaendelea kutoa milio kama paka kabanwa na mlango
 
Ushahidi upo...?

Waafrika tuna udwanzi fulani hv wakuamini mambo ya kusadikika.....na hatupendi kufanya utafiti
Sasa unapobisha umefanya utafoti na kuweka ushahidi? Maana wenye akili hawakatai wala hawakubali mpaka huo ushahidi uwepo. Wewe bwege unabisha na huna ushahidi pia. Ndo unapochekesha. Halafu wewe ni mwarabu?Mzungu au muasia?
 
Gari inayotembea zaidi ya masaa 12, taratibu za kupewa leseni LATRA zinataka awe na dereva wawili. Madereva akili zao fyatu tu, hasahasa hawa wa ma bus.
Huyo dereva wa usiku tuna uhakika mchana alipata muda wa kulala ama alikua busy anachat?
 
Nilishasema siji kupanda tena mabasi ya hiyo kampuni. Nliwahi kukata tiketi ya ilo bus la kwenda Mwanza,kuondoka Shekilango saa tisa kamili. Nkafika Shekilango saa nane na dk 45 usiku. Naambiwa gari imeondoka sasahivi,ikimbize. Namba ya gari nliyokuwa nmekata nkafukuza nkawa siipati nakutana na namba zingine kabisaa,kufika Mlandizi nkapanda gari lao la Shinyanga kama sikosei ili nkapandie gari langu Morogoro maana niliambiwa ntalikyuta hapo,ajabu nmefika Morogoro namba ya gari nliyoambiwa kupanda ni tofauti na ile nliyokata
 
Mimi sioni sababu ya haya magari kusafiri usiku. Kwa mfano mtu unaenda Moshi , masaa 8 hadi tisa umeshafika, dereva analala vizuri tu saa 12 yuko barabarani. Kiherehere tu
Mahitaji yanatofautiana, siyo wote wanapenda kusafiri hata huo mchana.
 
Madereva wanapitia mengi sana barabarani, Mungu awasimamie. Siku nilipopata ajali na nikaangalia mazingira ya ile ajali ndio nikajua kua hakuna dereva mzembe.

Utakuwa ulisinzia bila kujua wewe. Mara nyingi huwa ndo utetezi wenu.
 
Kisheria bus ikipata shida unapewa masaa 6 kufaulisha au kutengneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…