KabisaKuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.
Wacha tujionee sasa.
Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.
Ujumbe mzito.Madereva wanapitia mengi sana barabarani, Mungu awasimamie. Siku nilipopata ajali na nikaangalia mazingira ya ile ajali ndio nikajua kua hakuna dereva mzembe.
We Mwanga!!?Wasitishe kwa sababu zipi? Wengine kusafiri mchana hatuwezi
Unataka mabasi ya mikoani yawe kama kuku, saa moja jioni ndani! Hili tukio limetokea jioni jua linazama wewe unaleta zako tena hauko nyumbani kwako.Kuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.
Wacha tujionee sasa.
Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.
Sifanyi kazi huko hiyo ndo biashara ninayo ijua zaidiIngekuwa ni dharura ya mara moja sawa (japo nayo kwa mtu anayejali wateja wake, lugha nzuri na hata kuomba msamaha ingefaa).
Kwa hawa ni malalamiko ya kawaida...unakatiwa basi namba E (nauli kubwa) unaletewa mkangafu. Siyo fair; na wanajiharibia biashara tu.
Hata kama unafanya kazi huko waambie hivyo!
Huyo ni utingo wa hilo basi, amevaa hemuleti kama zile za bodaboda.Huyo asiye na kichwa ni abiria au
Saa moja jioni ni usiku!Utaratibi wa Gari kutembea Usiku na madereva wetu jinsi walivyo Aiseee VIFO VITAKUWA VINGI SANAAA...!
Madereva wanapitia mengi sana barabarani, Mungu awasimamie. Siku nilipopata ajali na nikaangalia mazingira ya ile ajali ndio nikajua kua hakuna dereva mzembe.
Kubet kwa madereva mkuu. Njiani ni mambo tu, wawahi kufika ili wapewe 100,000 ya ushindi.Hatari sana shida ni uzembe wa dereva au miundo mbinu?
Biashara ya mabasi ina changaamoto laiti kama na wewe ungekua unamiliki mabasi ungeona changamoto ya biashara hii na ungekua muelewa pindi zinapotokea dharura kama hizo,.
Ni bora uende na namba C nzima kuliko namba E ambayo imepata dharura na ina hitilafu.
Biashara ya magari siyo mchezo we endeleo tu kuona gari zinapita njiani na unatukana kuwa ni magari mabovu ila nyuma yake ujue kuna mwanaume anavuja jasho siyo mchezo
Happy nation kwa Miaka miwili 2022 na 2023 wana Ajali zaid ya 30 Na wamechukua Roho zaidi ya 200..Ajali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Wanachoka nao lknGari inayotembea zaidi ya masaa 12, taratibu za kupewa leseni LATRA zinataka awe na dereva wawili. Madereva akili zao fyatu tu, hasahasa hawa wa ma bus.
Ni mipango ya Allah...na sio malaika.Ilipangwa wafe hawa raia ..... Hakuna kusingizia bus wala madereva ni mipango ya Malaika mtoa roho amewakutia kwenye bus, nyakat mwingine tuzielewe alama za nyakat
Hana kichwa au ni bodaboda amevaa helmet anachungulia tukio?Huyo asiye na kichwa ni abiria au
Ni mipango ya Allah...na sio malaika.Ilipangwa wafe hawa raia ..... Hakuna kusingizia bus wala madereva ni mipango ya Malaika mtoa roho amewakutia kwenye bus, nyakat mwingine tuzielewe alama za nyakat
Inasikitisha sanaKubet kwa madereva mkuu. Njiani ni mambo tu, wawahi kufika ili wapewe 100,000 ya ushindi.