Basi la Happy Nation lapata ajali Mikese

Happy Nation ni mabasi ya hovyo yanayoendeshwa hovyo hovyo tu. Ajali kwa hawa jamaa ni suala la muda tu!

Halafu wadanganyifu. Unamkatia mtu tiketi inasema basi E (jipya) linalokuja ni mkangafu namba C mpaka seat zimechakaa. Na lazima liharibike njiani.

Nadhani kampuni imekua kwa kasi na sasa wameanza kujaa kiburi na kutojali. Wataanguka wasipojiangalia! 🚮🚮🖐
 
Kuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.

Wacha tujionee sasa.

Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.
Kweli mkuu. Dereva ana safari ya usiku ya zaidi ya km 500, mchana kutwa anashinda anazurura, saa 2 usiku anakunywa kahawa/energy drink anaanza safari.
 
Kweli mkuu. Mtu ana safari usiki ya zaidi ya km 500, mchana kutwa anashinda anazurura, saa 2 usiku anakunywa kahawa/energy drink anaanza safari.
Gari inayotembea zaidi ya masaa 12, taratibu za kupewa leseni LATRA zinataka awe na dereva wawili. Madereva akili zao fyatu tu, hasahasa hawa wa ma bus.
 
Kuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.

Wacha tujionee sasa.

Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.
Hio sio safari ya usiku ni mchana huu, hapo mtu katoka Mwanza ndo anaingia mjini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…