mizigo mikoa yote
Member
- Dec 2, 2023
- 19
- 28
Ajali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Wanaendesha kiholela sana, Kuna moja limenipita mahali, Driver kama kalewa hivi anataka kutafuna watuAjali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Mwisho wa mwaka, ajali ni nyingi.Ajali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Ajali zinatokana na ubovu wa gari zimepungua sana. Kwa sasa ajali nyingi ni akili mbovu za madereva.Ajali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Huyo asiye na kichwa ni abiria auAjali iyo imetokea muda sio mrefu maeneo ya mikese
Chanzo cha ajali bado sijapata uhakika
Allys ni 27Duuh....
1...Alpha-nzega
2...Baraka-uko kusini
3...Ally's-manyoni
Na hizi zote zmeondoka na watu zaidi ya 10
4..Leo tena Happy nation
Innalillah wainnailayh rajiuun
Kweli mkuu. Dereva ana safari ya usiku ya zaidi ya km 500, mchana kutwa anashinda anazurura, saa 2 usiku anakunywa kahawa/energy drink anaanza safari.Kuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.
Wacha tujionee sasa.
Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.
Wacha tufeKweli mkuu. Mtu ana safari usiki ya zaidi ya km 500, mchana kutwa anashinda anazurura, saa 2 usiku anakunywa kahawa/energy drink anaanza safari.
Gari inayotembea zaidi ya masaa 12, taratibu za kupewa leseni LATRA zinataka awe na dereva wawili. Madereva akili zao fyatu tu, hasahasa hawa wa ma bus.Kweli mkuu. Mtu ana safari usiki ya zaidi ya km 500, mchana kutwa anashinda anazurura, saa 2 usiku anakunywa kahawa/energy drink anaanza safari.
Tayari ....wameshasingizia Mkuu....watasingizia ni mwisho wa mwaka
Hio sio safari ya usiku ni mchana huu, hapo mtu katoka Mwanza ndo anaingia mjini sasaKuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.
Wacha tujionee sasa.
Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.