Hizi ajali siku hizi zilivyozidi nina wasiwasi ni kafara za uchaguzi
Wewe hii njia unaijua kweli? Ukitoka kusini unapitaje tena utete!Lilikua linatoka mikoa ya kusini kuelekea Dar, nimelikuta limedondoka ukipita utete. Sikusimama kwa mwanaJF anaetoka Dar au Lindi anaweza kutupatia madhara yake
niamini ukitoka Lindi unaiacha Utete kushoto hiyo sehemu inaitwa Bungu
Kama ni kweli; mi nasisitiza tena kuna kitu hakiko sawa kwenye usalama barabarani!
Washirikina mnamambo yenu siku zote mnawaza uchawi tu.Na kamata kamata ya waganga wa kienyeji, wanalipa kisasi
Washirikina mnamambo yenu siku zote mnawaza uchawi tu.
Wewe hii njia unaijua kweli? Ukitoka kusini unapitaje tena utete!