Basi la Gameti lapata ajali

Basi la Gameti lapata ajali

Sijajua kwa nini hajali zinafuatana kila siku, polis wa usalama barabarani kazi waliyobakiza ni kuchukua hela tu kutoka kwa makondakta hata hawana hofu ya Mungu tena
 
dah GAMET BONGE LA GARI
poleni wana NACHINGWEA maana hyo ndo mbadala wa NAJMA
 
nafkir pia magari mengi Tz mabovu, mengi yanatembea huku yanamwaga oil+mafuta sasa na hiz mvua kuteleza ni kugusa tu...
 
Mleta mada jamani...kwani umepita na ndege? Manake wewe mwenyewe ungeweza kutuletea habari hii kwa kina...

Shangaa. Halafu anajishebedua kabisa kuwa "Sikusimama". Ulikuwa unawahi Ubungo Mataa au....
 
Yani. Mi nasema ubinadamu haupo kabisa siku hizi hivi kweli we uwe na usafiri wako then ukute ajali mbichi kama hiyo halafu we upite tu bila kusimama na kushuka kuangalia kulikoni na labda mchango wako waweza hitajika ktk kusaidia Eeeee Mungu bariki watu wako wawe na mioyo ya kibinadamu na waondokane na ubinafsi
 
Mimi Najibu Swari La Kwanza
1. Youtong

Mkuu ni lazima iwe hvyo sababu sasa hivi wenye magari ya abiria wote wamehamia kwenye Yutong na Zhongtong ambapo Scania zimsbaki chache, nazo ni zile za zamani.

Ukilinganisha bei ya Scania na haya ya kichina utajua kwann wamefanya hivyo
 
Because most traffic accidents are the product of several factors, the probability of accidents can be reduced in a number of different ways. There is no doubt that the following activities have prevented the increase in accidents that would normally result from increases in traffic density.

There are three main approaches to preventing accidents:

Education and training of
(a) children in school by road-traffic instructors and school teachers; and of
(b) learners in the principles of safe driving and in good driving attitudes; by
(c) refresher courses for older drivers to bring home safe-driving principles and to refresh their knowledge of traffic law; (hii ndio ilileta mgomo mkali 10/4/2015 ubungo bus terminal) and by means of
(d) newspaper, radio television, and other publicity, to draw the attention of all road users both to dangers and to safe practices on the road.

Enforcement by
(a) adopting reasonable and enforceable traffic laws which, at the same time, are best designed to prevent accidents;
(b) concentrating the time and energy of traffic officers on the offences, locations, and times that feature frequently in accidents; and
(c) thoroughly testing new drivers to ensure they will not be liable to cause accidents.

Engineering of vehicles and roads: Vehicle engineering, comprising
(a) regular inspection for a “warrant of fitness” to ensure that the main components of the vehicle are safe;
(b) improving the design of the vehicle to give ease of vision and control to the driver and so reduce the likelihood of injury in an accident;
(c) fitting safety equipment, such as seat belts.
 
Kuna mambo siyo mazuri yanaendelea nimesema katika topic ya jana, tafadhali tuombe Mungu kwa bidii!
 
Mbona ulaya+asia zinatokea ajali za ndege daily??? Nadhani ni upepo tu.
 
Back
Top Bottom