Daaaaaah...Ni Ajali Teena!!!
Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu.
JF piga BURN mleta thread!!!!! haraka.
Tatizo ni hizi mahakama zetu dereva ameua analipishwa faini tu ingetakiwa kifungo miaka 20 tuone kma wataendesha kizembe
2014???Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu.