tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Tatizo ni hizi mahakama zetu dereva ameua analipishwa faini tu ingetakiwa kifungo miaka 20 tuone kma wataendesha kizembe
kweli. nimeanza kuogopa safariNaamini kabisa kuna kitu hakiko sawa, haiwezekani kila leo ni ajali, ajali, ajali, ajali!
hIYO AJALI SIO YA LEO,MTOA MADA TUTAKE RADHI SISI TUNAOSAFIRI DAR NAIROBI KILA SIKU
UmeulZWA kama unasafr au husafri?? Lete ww bas mada
Kova rudisha tochi......lazima itakuwa mwendo kasi.
hIYO AJALI SIO YA LEO,MTOA MADA TUTAKE RADHI SISI TUNAOSAFIRI DAR NAIROBI KILA SIKU
Ni ajali ya lini?
Tatizo si mahakama. Ni watunga sheria ambao ni bunge badala ya kuzitunga sheria au kuzirekebisha kutokana na wakati, kazi kuuza sura kwenye TV tuwaone wanavyopeana mipasho. Mahakama haiwezi toa adhabu ambayo haipo kwenye sheria. TafakariTatizo ni hizi mahakama zetu dereva ameua analipishwa faini tu ingetakiwa kifungo miaka 20 tuone kma wataendesha kizembe
ilitokea 2014
JF piga BURN mleta thread!!!!! haraka.
tunaomba sheria ya mtandao ianze kazi haraka uongo mwingine hauvumiliki.
Tcra mpo bila shaka,apigwe burn humu jf